Kwanini Anna Makinda na Mizengo Pinda hawajaweza kuwa Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara?

Wanaogopa kuchafua score board wanataka kuondoka na clean sheet
 
Utopolo tumevunja sana calculator lakini wapi
 
Wewe Kweli Ungeweza Kukubali Nafasi Hiyo Ukijua Wazi Chama Kimepasuka Sana Na Mwaka Huu Kinajifia
Nafurahia mnavyojipa moyo, ngoja uone Chess ya CCM ndiyo utakubali CCM ni chama dume
 
Sasa uchaguzi wanafanya wa nini kama anayepewa hiyo nafasi anakuwa anachaguliwa na Mwenyekiti? Uchaguzi unakuwa maigizo tu. Kwanini wasingekuwa wanaacha wanaotaka hiyo nafasi wagombee halafu wapigiwe kura?
 
Uzushi.
Labda wanataka kuwa Makamu Mwenyekiti wa Chadomo 😁😁
Mwisho hakuna anaekataaga Cheo hapa Tanzania na ndio maana mnataka Kuuana na kugawana fito huko sembuse CCM kwenye pesa?

vp khs a.kinana ? kwa hiyo kumbe hakuachia mwenyewe? aliondolewa?
 
Nilivyosoma nilidhani una ushahidi labda wenyewe walisema...tuwe professional basi ukiweka kitu kma hiki cha story za kwenye kahawa usiandike kwa uhakika hivi.
 
Nilivyosoma nilidhani una ushahidi labda wenyewe walisema...tuwe professional basi ukiweka kitu kma hiki cha story za kwenye kahawa usiandike kwa uhakika hivi.
Hatubahatishi
 
Wasira anahitaji kusaidiwa, miaka hiyo ni ya kushukuru Mungu na kujiandaa kuonana naye siku yake ya mwisho hapa duniani.
 
Wasira anahitaji kusaidiwa, miaka hiyo ni ya kushukuru Mungu na kujiandaa kuonana naye siku yake ya mwisho hapa duniani.
I agree

Usishangae ukisikia ndio team leader kwenye kuandaa ilani yao ya uchaguzi.

Ndio mtu ambae wamekuwa wakimtegemea miaka yote kuandaa ilani yao ya uchaguzi toka 90’s.
 
Nani mwenye akili zake sawa anataka historia yake iwe uchawa na wizi wa kura🤮 zaidi ya watu wa ajabu ajabu kama wasira
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…