Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,111
- 53,092
Mabilionea wana maeneo Mbagala kwa ajili ya biashara zao (warehouses, factories & yards) lakini sio kwa makazi yao.Baki hivyo wakati akina Manji mabilionea walikuwa na maeneo hadi kuwa diwani wa Mbagala kuu.
Halafu huko Mbagala cheap labour ni wengi na ardhi ni bei rahisi ndo maana wanakuja kuwekeza
Baada ya hapo wanarudi zao Masaki, Mbezi Beach, Oysterbay, Mikocheni, Mbweni, Madale kupumzika na familia zao