Kwanini ardhi ya Mbagala haina thamani?

Kwanini ardhi ya Mbagala haina thamani?

Waislamu mwaka huu watakoma.......yameibuka mashambulizi juu yao hata sielewi kisa ni nini?!!! Ni kejeli, ni matusi, ni shari juu yao mwanzo mwisho. Wengine wanaotukana ni wale waliofundishwa na waislamu hao hao namna ya kuvaa, kuongea na hata ustaarabu wa kuchamba. Walitoka kwao bara huko wakilalia ngozi mbichi za ng'ombe huku wengine wakikaa uchi pamoja na dada zao huku wakitumia magunzi ya mahindi kuchambia. Wakafika pwani (kwa waislamu) wakapokelewa na kuelekezwa wajihi wa kibinadamu ukoje hadi kuelewa, leo wanawatukana bila sababu.

M/Mungu atie wepesi wapite mtihani huu pia kama walivyopita mingine!
MB9na hapa mada mbagala mambo ya uislamu yametoka wapi?
 
Kuna ardhi zilizo barikiwa na zipo ardhi zilizo laaniwa
Soma wadau walichokiandika rafiki ingawa it might offensive. Eti wengi wao ni wa ile dini na hivyo usitegemee mabadiriko as long as kwao kwenda shule siyo muhimu, elimu ahera ndiyo muhimu. Na nikiangalia hapa nilipo majority ukanda wa pwani kusini kati ni wa dini ile, shida tupu.
 
Kuna wakati ninyi wenye dini yenu mnakuwa kama ”wapumbavu na mambumbumbu”,sote tunajua binadamu yeyote kadiri anavyokuwa ndivyo anavyozidi kupata maarifa ya kutumia nyenzo zilizo karibu naye kama maji sasa huo ujinga wa kujisifia kufundisha watu namna ya kujisafisha uchafu wakitoka haja kubwa mnaouringia watu wameutumia miaka na miaka tena wakiwa huko huko kwao bara.

Ni ujinga kukaza shingo kujisifia ujinga,em niambie,Kwa hiyo mlikuwa mnawafundisha hao wabara ”kuchamba” mkiwa mmewasimamia na fimbo humo mavyooni au?na wewe nikuulize ulifundishwa namna ya kuchamba na mtu au ulijifunza mwenyewe?

Kwa akili hizi hamuwezi kuacha kudharaulika,it's ridiculous nakwambia badilikeni.
1. Wa moja haitokaa apate mbili, na wa mbili haitokaa apate moja.....hilo litaenda hivyo mpaka dunia itaisha ndg yangu.

Kwa hapa tz, na ukanda wa afrika mashariki kwa ujumla, mkubali tu kuwa mmestaarabishwa kwa kiasi kikubwa sana na watu wa pwani (Waislamu). Kwao ustaarabu ulianza kutamalaki tangu karne ya 13 huko.
  • huko ndo kitovu cha kuvumiliana na siyo kupigana mapanga tu hovyo hovyo kama wanyama kwa vitu hata vya kipuuzi.
  • huko ndiko hakuna habari eti za kuua wazee kisa macho yao mekundu hivyo watakuwa wachawi.
  • huko hakuna habari za kukatana vidole eti ndo ushahidi wa mke kupendwa na mume.
  • huko hakuna wazee wenyeji kukaa na kumuua mgeni fulani pale kijijini eti tambiko na mgeni huyo ndo kafara yenyewe n.k

Vitu hivyo vinakwisha kwa kiasi kikubwa baada ya maingiliano na watu wa pwani, ni ukweli huu.

2. Lugha adhimu ya kiswahili imetoka pwani kaka ndo mkaletewa huko mlikokomaa na vilugha vyenu hadi mkaielewa na sasa sasa mnajivunia......unafikiri kwanini havikutoka vilugha vyenu huko vikateremkia pwani? Jibu linaanzia hapo katika methali yangu niliyoanza nayo. Kuna uwezekano mkubwa mkavielewa na kuvifuata vingine baadae.

3. Mwalimu Nyerere alijaaliwa akili nyingi tu na Mwenyezi Mungu, hilo halina ubishi. Lakini, kwa akili zake hizo alizojaaliwa nazo alijua kuwa ili awe wa kisasa lazima aungane na watu wa pwani......akaenda wakamuelekeza mambo mengi tu na akajanjaruka kweli kweli.

6. Matusi kejeli n.k haziwahi kuwa kikwazo kwa watu wa pwani, hivyo kama kuna mengine endelea kuyashusha tu.

7. Nilifikiri kwa uelewa wako usingepoteza muda kukomaa na neno 'kuchamba' kama 'kuchamba'; bali ungeelewa tu kwa mapana yake kuwa imemaanishwa ustaarabu tu kwa ujumla.
 
Mbona watu wanasema jamii ya ukanda wa pwani ndiyo wastaarabu na ustaarabu ndiyo jadi yao Wabara wao wanaiga tu ustaarabu?
Sijui wanatumia vigezo gani. Tunajua ustaarabu unakuwa reinforced na elimu. sasa kamaelimu dunia kwao ni haramu ustaarabu utatoka wapi? au ustaarabu ni inborn?
 
Hawa waswahili wa jamiiforums ni most arrogant, presumptuous and uppity suckers sijawahi ona full of condescension. Utakuta mtu anaandika haya kama yupo surbubs las vegas, manhattan new york au Massachusetts.
Kumbe kisa anaishi mbezi! au mikoani ndanindani huko vijijini anakula miwa.

Sehemu ninayokaa mimi ni mbagala na kuna nyumba kubwa za kisasa full geti zimejipanga vizuri. au nyie mnaongelea mbagala ipi?
Dar nzima mimi sioni tofauti yoyote, ni vumbi tu. na most wanaoandika hizi pumba utakuta wanatokea mikoani, hawatembei or some jobless idiots.

Na bado kuna wale mbuzi waliokunywa maji ya dini, religious fanatics na nonsense za ajabuajabu. wth? hauna kazi?
So damn strange! na bado kuna mjinga anaongelea civilization na hapohapo yeye anadefine na kugeneralize watu kutokana na dini?

What is this? nashangaa sana upeo wa watu wa JF, Na haya ndio madhara ya kujiona smart na una akili sana kuliko uhalisia.
Mara zote watu wenye uwezo mdogo kiakili huwa wanakosa uwezo wa kutambua udhaifu wao wenyewe, dunning kruger effect.

Watu wa jamiiforums sijawahi kukutana nao maishani kwangu, I guess fake IDs zinafichua uhalisia.

Africans are just a bunch of talking monkies.
Sio kwa povu hili..ila mbagala pakichoko sana hasa wakazi wahuko.

#MaendeleoHayanaChama

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Waislam dunia sio mahala pao pa starehe hapa ni jahanamu, targert yao sio duniani, kwa hiyo hizo dini ulizotaja zina haki ya kustarehe duniani, ambapo maisha yake ni mafupi, watu wana targert za milele.
Acha kujipa moyo kijinga..ndio mana mnajiripua kise..gerema.

#MaendeleoHayanaChama

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Sio kweli, ukibahatika kutembelea mataifa ya kiislamu ya ghuba hutaandika hivi.
Hao wa ghuba bila mafuta ni njaa kali sana..na tunakoelekea watarudi njaa kali technology inahamia kwenye sustainable renewable energy.

#MaendeleoHayanaChama

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Mbagala unaijua vizuri wewe au unaandika tu kwa kusimuliwa. Leo Mbagala rangi 3 unaijua Bei ya fremu? Bila milion 1 hupati frem, Kijichi Bado ni Mbagala lakin Kiwanja mpaka milion 100, hiyo Zachkem hupati kiwanja, lazima umvue mtu bila milion 200 hutoi mtu wewe unaongea nini

Mtoni kijichi leo imegeuka mbagala kijichi?

Sehemu ikiwa nzuri inageuka mbagala sababu ipo karibu na mbagala?


 
Lkn umeonaje maendeleo yao kama NCHI?
Mfano Nchi hizi ndizo hazina mfumo wa Kupiga kura ni absolutely monarchy na ndio NCHI asilimia 100% ni waislam hebu dadavua kidogo tuje unaelewa nini kuhusu maendeleo.

1)Saudi Arabia
2)Qatar
3)U.A.E
4)Kuwait
5)Oman
6)Bahrain
Ukiondoa mafuta wananini cha maana??

#MaendeleoHayanaChama

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Mbagala unaijua vizuri wewe au unaandika tu kwa kusimuliwa. Leo Mbagala rangi 3 unaijua Bei ya fremu? Bila milion 1 hupati frem, Kijichi Bado ni Mbagala lakin Kiwanja mpaka milion 100, hiyo Zachkem hupati kiwanja, lazima umvue mtu bila milion 200 hutoi mtu wewe unaongea nini

Fremu ni sehemu ya kuishi?

Mbagala kibiashara panafaa sababu pana population kubwa.

Ndio maana matajiri wanafanya biashara kariakoo.. ila huwa hawaishi kariakoo

Huu uzi unaongelea wastani wa ardhi kubwa ya mbagala inachelewa kupanda thamani hasa sehemu za kuishi mbagala ukiacha ardhi ndogoo iliyo sehemu za biashara.. sababu kuu ni middle class kwenye swala la kuishi huwa hawanunui viwanja mbagala ndio maana ardhi kubwa ya mbagala inakuwa haipandi bei.

Ni kipande kidogo sana cha mbagala ambapo ardhi yake ina thamanii..

Mbagala ni mji wa zamani sana.. ila zimekuja Goba, mabwepande , bunju etc thamani za ardhi zake zimepanda sana huku ardhi za mbagala zimeganda bei hazikui
 
Ungeyajuaje Sasa? Kijichi si wanasema mbagala. Jokate anaishi karibu na hospitali ya kata ya kijichi

Najiuliza inakuwaje Hospitali ya kata ya kijichi imejengwa mbagala?

Ama mimi ni kilaza sijui maana ya Kata kwa kizungu ward?
 
Du sijui kwanini.
Kuna kipindi Shem angu aliniambia Shem Kama unataka kujenga Dar isiwe TU mbagala.
Nikamuuliza kwanini akanambia pa kiboya Ni Bora uishi kibaha i'la sio mbagala.
Nashangaa Kuona yaleyale

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
Waislam dunia sio mahala pao pa starehe hapa ni jahanamu, targert yao sio duniani, kwa hiyo hizo dini ulizotaja zina haki ya kustarehe duniani, ambapo maisha yake ni mafupi, watu wana targert za milele.
Wakristo wanaoa mke mmoja tu hadi kifo kiwatenganishe lakini wanaume waislamu ruksa kuoa wake wanne hapa duniani nani hapo anapenda dunia kitandani kuliko mwingine?
Mwislamu kila siku anabadilisha wanawake wa ndoa leo Yuko kwa Asha Ngedere ,Kesho yuko kwa Hadija Nichokonoe,Keshokutwa yuko kwa Mwajuma Kigodoro,mtondogoo yuko kwa Halima Muuza Vichwa vya kuku anaparamia

Kote ananing'inia kwenye vifua vya wanawake wake wake zake! Akila starehe za dunia

Nani mpenda dunia na starehe hapo? Kati ya Mkristo na Muislamu?
 
Wakristo wanaoa mke mmoja tu hadi kifo kiwatenganishe lakini wanaume waislamu ruksa kuoa wake wanne hapa duniani nani hapo anapenda dunia kitandani kuliko mwingine?
Mwislamu kila siku anabadilisha wanawake wa ndoa leo Yuko kwa Asha Ngedere ,Kesho yuko kwa Hadija Nichokonoe,Keshokutwa yuko kwa Mwajuma Kigodoro,mtondogoo yuko kwa Halima Muuza Vichwa vya kuku anaparamia

Kote ananing'inia kwenye vifua vya wanawake wake wake zake! Akila starehe za dunia

Nani mpenda dunia na starehe hapo? Kati ya Mkristo na Muislamu?

Hii point yako inawafanya watu neutral wampe point huyo aliyesema mbagala kumejaa waislam ambao ni un civillized

Wewe Kubadilisha wanawake ama kuoa wake wengi ndio unaona ni starehe ?

Hata Waislamu ambao ni civillised kina Bakhressa, Mo dewji, Mafuruki family, hawabadilishi badilishi wanawake na wameoa mke mmoja tu sababu wanajua wapumbavu ndio wanaona kubadili wanawake ama kuoa wake wengi ni starehe ama ufahari

Na wanawake wa kiislamu nao wanapata starehe gani?

Ama wanawake wa kiislamu sio binadamu?
 
Back
Top Bottom