Kwanini ardhi ya Mbagala haina thamani?

Kwanini ardhi ya Mbagala haina thamani?

Watu wengi wa Mbagala wako uncivilized (sio wastaarabu).
Vibaka wengi, makelele kila kona, kuna hekaheka nyingi sana kiasi kwamba mtu usiyependa hekaheka huwezi kuishi Mbagala.

Binafsi hata wauze kiwanja laki 5 siwezi kukaa Mbagala, kuingia nyumbani kwako saa 3 usiku unaingia kwa wasiwasi maana wakabaji kibao maisha gani hayo sasa
Mbagala ipi unakizungumzia, ujue mbagala ni Taifa.

Kule Mbagala Kuna kila raia kuanzia Makapuku, Mlalahoi, Mlalahai, na Mabwanyenye.

Hivyo unapoitaja Mbagala basi taja Mbagala ipi unaizungumzia?

N.B Mbagala Misheni, Mbagala kijichi, Mgeni nani, Vikunai, kuu, kibondemaji, sabasaba, kipati, kizuaiani, Juhudi, Kimbangulile, kokoto, kiburugwa, kungugi, charambe, kwa nyoka, Cha tembo, Mianzini, Maji matitu, kilungule, Rangi tatu.

Kata ya chamazi yote, Mbande yote, kiponza yote, kisewe yote, Dovya yote, Bamia, Rufu yote, Tarime, Uvikiuta, Makaburini.

Hivyo unapoizungumzia Mbagala basi taja sehemu husika.

Hata huko Kimara, Mbezi, Kibamba, Gongo la mboto, Ukonga, Kigamboni, Kawe Kuna tofauti gani na Mbagala?

Dar es Salaam eneo lililopimwa ni 30% ya mji wote ila Kuna wakuja ndio wanataka kuleta dharau, acheni ushamba naa ulimbukeni.

N.B Panya road wanasumbua maeneo gani kipindi hiki, hao si ndio waliostarabika [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Mataifa ya kiislam ya ghuba yote hayana demokrasia.
Huko saudi arabia wananchi hawana haki wanatawaliwa kibabe na ukoo mmoja tu. Wakikosoa wanakatwa shingo mfano khashoggi..

Kuna dada aligoma kuolewa na mzee maana dini inaruhusu, akakataa wakataka kumuua akakimbila canada

Hakuna nchi inayofata shariah za kiislamu hata moja ambayo inafata demokrasia... hakuna ambayo rais anachaguliwa kwa kupigiwa kura.

Yaani ni ukoo mmoja tu ndio unaendesha nchi kama family business vile
Demokrasia ndio maendeleo ?
 
Hivi unajua mbagala Ina kata ngapi? Unajua maji matitu, kijichi na mgeninani ni kata ipi?
Mzee unazani Mimi wa kuja nini?
Screenshot_20221003-152219.jpg
 
Mtoni kijichi leo imegeuka mbagala kijichi?

Sehemu ikiwa nzuri inageuka mbagala sababu ipo karibu na mbagala?


Naomba nikuulize swali: je Kijichi ipo Kata ya Azimio au kata ya Mtoni?

Maana tunahitaji kuwarekebisha watu kama ninyi ili wengine wajifunze Toka katika uongo wenu.

Kijichi, Mgeni nani na Mbagala kuu ni mitaa. Iliyopo kata ya Mbagala

Mtoni inaishia Msikitini na ukipandisha tu umeiingia Mbagala Misheni.

Kukataa huku pia hufanywa na watu wa chamazi waliopo kata ya chamazi kuwa so sio Mbagala.

La mwisho angalia postikodi ya kijichi, Mgeni nani, Mbagala kuu ni Moja au tofauti

Mbagala Misheni ni sehemu ya Mbagala au mtoni?

Mwanamtoti ni Mbagala au Mtoni?


Siku nyingine ukija mjini kwa mbio za mwenge waambie wenyeji wakufundishe
Screenshot_20221003-153905.jpg
 
Hivi kati ya Temeke na Ilala (toa city centre) wapi kuna afadhali ya makazi
Mwambie hiyo Ilala akiiongelea asiache kutaja Mvuti, Dondwe, Msongola, Kivure, Mchikichini, vingunguti,
 
Wakristo wanaoa mke mmoja tu hadi kifo kiwatenganishe lakini wanaume waislamu ruksa kuoa wake wanne hapa duniani nani hapo anapenda dunia kitandani kuliko mwingine?
Mwislamu kila siku anabadilisha wanawake wa ndoa leo Yuko kwa Asha Ngedere ,Kesho yuko kwa Hadija Nichokonoe,Keshokutwa yuko kwa Mwajuma Kigodoro,mtondogoo yuko kwa Halima Muuza Vichwa vya kuku anaparamia

Kote ananing'inia kwenye vifua vya wanawake wake wake zake! Akila starehe za dunia

Nani mpenda dunia na starehe hapo? Kati ya Mkristo na Muislamu?
Sawa kabisa umesema MWISLAMU sio ISLAM, fanya tafiti na soma Islam sio tafiti ya waislam.
 
Miaka nenda miaka rudi, ardhi ya Mbagala imekuwa haina thamani pamoja na kuwa na watu wengi. Nenda Goba, kivumbi, miji ya juzi. Mbagala ya zamani haina hadhi mpaka leo. kwanini?
San wee unaendaje kuishi na wamakonde wamakonde wote wako hapo unategemea nn

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
No nigga. Mimi ni mweusi zaidi ya mkaa wa mkaratusi.
Sasa mbona unatoa povu zito namna hii kwa mambo simple? Hapa ukijifanya kukasirika kwa sababu dini/kabila/sehemu/jinsia yako imesemwa vibaya basi utakufa kwa kiroho. Take it easy! Sijui kama ulishuhudia kipindi cha Magufuli wachaga walivyokuwa wanashambuliwa!
 
Tatizo lililopa Tanzania watu wengi wanatoa maoni yao kuhusu kitu chochote kile huwa kina kuwa driven by emotional sn kuliko uhalisia wa jambo husika na hilo ni tatizo.
Nakubaliana na wewe. Tatizo lipo kwenye kutafakari. Sisi watanzania sijui akili zetu zikoje lakini huwa hatuna tabia ya kutafakari au kutafiti jambo kabla ya kulisema. Hili nilikuwa silijui lakini uwepo wa Internet umefanya nijue. Pengine elimu tuliyopata inazingatia zaidi kukariri.
 
Sasa mbona unatoa povu zito namna hii kwa mambo simple? Hapa ukijifanya kukasirika kwa sababu dini/kabila/sehemu/jinsia yako imesemwa vibaya basi utakufa kwa kiroho. Take it easy! Sijui kama ulishuhudia kipindi cha Magufuli wachaga walivyokuwa wanashambuliwa!
Hold up! hold up! kama hauchukulii serious basi hata comment yangu usingechukulia serious vilevile.
Lakini of course siko serious, I'm having fun here!, I enjoy conflict and outrageous arguments.

I'm pursuing challenges everyday.
 
Back
Top Bottom