Kwanini ardhi ya Mbagala haina thamani?

Miaka nenda miaka rudi, ardhi ya Mbagala imekuwa haina thamani pamoja na kuwa na watu wengi. Nenda Goba, kivumbi, miji ya juzi. Mbagala ya zamani haina hadhi mpaka leo. kwanini?
mbagala dahh bora nikaishi mlandizi au chalinze kabisa
 
Wewe hata siwezi kubishana na wewe maana watu wa kusini mkifika mtongani mbaona Dar mmeimaliza.


Ushamba umewajaa sana
 
Punguza povu sindano ikuingie, hujatumwa kuishi mbagala, ni uwezo wako, kubali mbagala kajamba nani.
Umejenga mzee, acha kujivunia kuishi mbezi kitopeni karibu na Stand, au mbezi jogoo wakati nyumba ya kupanga. Kuna watu walivunia kariakoo na Magomeni saa maisha yamewashinda wako mkoa, waliochekwa kwa kuishi mbagara na mbezi shamba sasa hivi mbezi Luis, wako mjini mpaka leo. Nione nikupe eneo huku kwa Sumae. auache kujivunia mji badala ya maendeleo yako.
 
Wewe hata siwezi kubishana na wewe maana watu wa kusini mkifika mtongani mbaona Dar mmeimaliza.


Ushamba umewajaa sana
wewe kwenu wapi, unachokiandika hapa tayari kinaakisi ushamba, kuimaliza dar ndiyo kukoje, ukija na kutambia kuijua dar, basi kazi ipo, maana niko dar ila kutokana shuguri zangu za kiuchumi daraja la Tanzanite nililiona wakati linajengwa, tangu waruhusu magari sijapita kule. Sasa kuimaliza dar sijui ndiyo nini au ndiyo uwe mjanjanjaa.
 
Wakuja utamjua tu, uhitaji kufungua codes nyingi
 
Asilimia kubwa wengi wenu mlifika mbagala mwisho mwa miaka ya 90 huko mkitokea vijijini kwenu mpala kyala
Kwakweli mtu anasema mzunguko wa pesa kidogo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] watu wa mbagala hawaendi Tena kariakoo kununua vitu ... Hata watu wa mbande kuja rangi 3 ni kuamua ila Kila kitu kipo huko. Mbagala imekuwa sana in 10 years almost Kila tarafa itajitegemea kwa Kila kitu
 
Ulishawahi kaa
 
Miaka ya nyuma mbagala ulikuwa unaweza kuchemsha chai ukaenda dukani kununua sukari vijiko viwili ukanywa chai yako ukatoka
 
Sio kweli, mbagala toka miaka ya 80 ikohivyohivyo haijawahi kuwa na hadhi yoyote ile, hata ukiwa na mabilioni lkn ukimwambia mtu unaishi mbagala lazma akuzarau.
 
Kwamba huoni tofauti ya salasala na Mbagala ?

Madale na Chamanzi !!!


Akili zako ziko ICU


[emoji1][emoji1][emoji1]

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Tatizo lililopa Tanzania watu wengi wanatoa maoni yao kuhusu kitu chochote kile huwa kina kuwa driven by emotional sn kuliko uhalisia wa jambo husika na hilo ni tatizo.
Umeambiwa taja nchi ya kiislam ambayo imefikia uwezo nchi za G7 Acha kulia lia

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…