Anachojaribu kueleza ni kuwa maeneo mengi yenye waislamu wengi hayana maendeleo mfano miji ya zamani kama Pangani,Ujiji,Bagamoyo ,Kilwa nk ilitakiwa yawe majiji tena makubwa kuliko Dar,Arusha au Dodoma,au Mbeya,Kahama ,Mwanza nk
Lakini wakazi wake wengi waislamu sijajua shida nini wanasomeshana Alubadiri ili wasifanye maendeleo binafsi makubwa au ni nini? Sababu wengine unakuta pesa wanazo kibao na wasomi sana tu na pesa wanazo lakini hata nyumba tu wanazoishi haziakisi uwezo wa pesa walizonazo!! Tofauti na watu wa dini zingine kama wahindu ,Wakristo na wabudha au wakinga wasio na dini waabudu mizimu .Nyumba za waislamu wengi za kawaida mno !! Pesa wanapeleka wapi?