Kwanini ardhi ya Mbagala haina thamani?

Acha uongo jamaa. Kwa kifupi Goba vibaka hakuna kama wako basi no wachache. Ni mara chache sana kukuta vijana wamekaa vijiweni; labda kama **** goba nyingine.
Goba next level , huyo anabonga hapajui
 
Kuna wakati niliishi niliishi mbagala kizuiani...mpaka mchele utakaonunua dukani kwa mangi utakuta vikunguni vimefiamo au viko hai...
Vyumba Bei rahisi ila gharama za kujitibia kwa mganga itakuwa Bora upange kwingine...daily Nazi zinavunja makutano
 
Kuna wakati niliishi niliishi mbagala kizuiani...mpaka mchele utakaonunua dukani kwa mangi utakuta vikunguni vimefiamo au viko hai...
Vyumba Bei rahisi ila gharama za kujitibia kwa mganga itakuwa Bora upange kwingine...daily Nazi zinavunja makutano
🤣🤣🤣
 
agreed! Nitauza kijumba changu nitafute pengine. Lakini Kwa biashara ndogo ndogo kuna utitiri wa watu na hivyo wateja wengi
 
Tatito la miji yenye waislamu wengi wanaamini ushirikina ndiyo maana hawafanyi maendeleo, mfano wakijenga nyumba nzuri wanarogana tabia ya waislamu hawapendi kuona mtu akipata mafanikioa wanachukia hawana ushindani wa kimaendeleo wenyewe roho zao ni za korosho kwenye maswala ya maendeleo.
 
Mbagala ni jimbo linalokaliwa kibabe na mkoa wa Mtwara ni kama Crimea na Urusi. Mbagala haiko kwenye himaya ya mkoa wa Dar.
Kama Kimara inavokaliwa kibabe na wachaga
Soma kuelewa usisome ili ujibu,yeye ametaja mkoa mzima wa Mtwara hakutaja Wamakonde wewe unataja Kabila moja Wachagga unajiona ukiwa na hoja hapo?
 
Wewe ni mgeni wa Dar ulivyofikia kwa dada yako hapo Goba ukaona ndo eneo zuri zaidi. Jitahidi dada awe anakuachia nauli kidogo uzunguke maeneo mengi hasa Temeke ujionee mijengo yenye hadhi ya New York.
Hujajibu hoja, ad hominem argument ni dalili za kushindwa kujibu hoja
 
Weka na mfano kidogo mkuu. Haina thamani kwa misingi ipi?
Mimi nina eneo mita za mraba 640. Kuna nyumba isiyokamilika ya vyumba 4 na sebule. vyumba vitatu mtu anaweza akaishi. nimeweka umeme. Nimejaribu kuuza kwa milioni 40 sijapata mteja. NI dakika 7 hadi 10 kufika kituo cha basi rangitatu na nyumba za eneo zina mpangilio mzuri. HEBU ONA KUSIVYO NA THAMANI JAPO HATI YA MAKAZI NAYO IPO. Benki ukitaka mkopo uweke dhamana wanakuwa wagumu.
 
Ukweli ukanda huo haujawahi nivutia kuishi kwa kuwekeza, japo huwa siweki agano la kukataa kujenga, sababu maisha hayatabitiki.
Mimi mleta mada nimejenga tena nina kiwanja kikubwa over 2000 sq m. lakini sioni pakibadirika.....
 
Exactly, nami nimejenga na kiwanga over 2000 sqm. lakini sioni mabadiriko na wa kumuuzia hayupo.
 
Changamoto za Mbagala
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…