Kwanini ardhi ya Mbagala haina thamani?

Kwanini ardhi ya Mbagala haina thamani?

Uncivilized population. Hii ni factor muhimu
Una maana gani ?... Civilization kwako unatafsiri vipi ?... Au kuishi kama wazungu wa Ulaya magharibi na Marekani kaskazini ?
 
Anachojaribu kueleza ni kuwa maeneo mengi yenye waislamu wengi hayana maendeleo mfano miji ya zamani kama Pangani,Ujiji,Bagamoyo ,Kilwa nk ilitakiwa yawe majiji tena makubwa kuliko Dar,Arusha au Dodoma,au Mbeya,Kahama ,Mwanza nk

Lakini wakazi wake wengi waislamu sijajua shida nini wanasomeshana Alubadiri ili wasifanye maendeleo binafsi makubwa au ni nini? Sababu wengine unakuta pesa wanazo kibao na wasomi sana tu na pesa wanazo lakini hata nyumba tu wanazoishi haziakisi uwezo wa pesa walizonazo!! Tofauti na watu wa dini zingine kama wahindu ,Wakristo na wabudha au wakinga wasio na dini waabudu mizimu .Nyumba za waislamu wengi za kawaida mno !! Pesa wanapeleka wapi?
Waislam dunia sio mahala pao pa starehe hapa ni jahanamu, targert yao sio duniani, kwa hiyo hizo dini ulizotaja zina haki ya kustarehe duniani, ambapo maisha yake ni mafupi, watu wana targert za milele.
 
Kwa tuliozaliwa Dar me najionea sawa tu labda wanaoishi obey, masaki na upanga. Kuliko baki ni yaleyale tu.
You might be right! Sehemu ambazo hazijapimwa vema ni shida . Mrundikano wa vijumba, ie vianja kama maeneo ya kujenga choo, na ustaarabu wa watu, uncivilised people. Mbagala ni wamakonde, wang'indo, wamatumbi wa Kilwa, Lindi Mtwara. Usitegemee ustaarabu kwa watu tpka huko.
 
Miaka nenda miaka rudi, ardhi ya Mbagala imekuwa haina thamani pamoja na kuwa na watu wengi. Nenda Goba, kivumbi.... miji ya juzi. Mbagala ya zamani haina hadhi mpaka leo. kwanini?
Mimi napapenda pana misambwanda ya kufa mtu. Mambo ya civilisation tuwaachie wazungu na maisha yao.
 
Let us consult the aurthority by definition
uncivilized (Definitions from Oxford Languages)
(of a place or people) not socially, culturally, or morally advanced.

What type of word is uncivilized?
Adjective. Crude, barbarous, wild, uncultured. Used to describe people who display a marked lack of manners as defined by a given culture.

What's the difference between civilized and uncivilized?
In the past, to be "civilized," was linked to the feeling of being "civil" - a term for politeness and propriety. To be "uncivilized" in this usage means to be "rude," " barbaric" or a " savage." In this sense, civilization implies
sophistication and refinement.

Do those definitions make sense to you?
 
Waislam dunia sio mahala pao pa starehe hapa ni jahanamu, targert yao sio duniani, kwa hiyo hizo dini ulizotaja zina haki ya kustarehe duniani, ambapo maisha yake ni mafupi, watu wana targert za milele.
Uko sahihi kabisa kabisa. Umenifurahisha na andiko lako
Uislam ukishamiri mahali tegemea yote hayo
Ngoja waje wa Mudi, utakoma kuandika habari za Mudi
 
Waislamu mwaka huu watakoma.......yameibuka mashambulizi juu yao hata sielewi kisa ni nini?!!! Ni kejeli, ni matusi, ni shari juu yao mwanzo mwisho. Wengine wanaotukana ni wale waliofundishwa na waislamu hao hao namna ya kuvaa, kuongea na hata ustaarabu wa kuchamba Walitoka kwao bara huko wakilalia ngozi mbichi za ng'ombe huku wengine wakikaa uchi pamoja na dada zao huku wakitumia magunzi ya mahindi kuchambia. Wakafika pwani (kwa waislamu) wakapokelewa na kuelekezwa wajihi wa kibinadamu ukoje hadi kuelewa, leo wanawatukana bila sababu.

M/Mungu atie wepesi wapite mtihani huu pia kama walivyopita mingine!
Kuna wakati ninyi wenye dini yenu mnakuwa kama ”wapumbavu na mambumbumbu”,sote tunajua binadamu yeyote kadiri anavyokua ndivyo anavyozidi kupata maarifa ya kutumia nyenzo zilizo karibu naye kama maji sasa huo ujinga wa kujisifia kufundisha watu namna ya kujisafisha uchafu wakitoka haja kubwa mnaouringia watu wameutumia miaka na miaka tena wakiwa huko huko kwao bara.

Ni ujinga kukaza shingo kujisifia ujinga kwamba waislam Tanzania nao walikuwa kujisafisha mavi hawawezi mpaka walipokuja kufundishwa na mwarabu,em niambie,Kwa hiyo na nyie mlikuwa mnawafundisha hao wabara ”kuchamba” mkiwa mmewasimamia na fimbo humo mavyooni au?na wewe nikuulize ulifundishwa namna ya kuchamba na mtu au ulijifunza mwenyewe?

Kwa akili hizi hamuwezi kuacha kudharaulika,it's ridiculous nakwambia badilikeni.
 
Miaka nenda miaka rudi, ardhi ya Mbagala imekuwa haina thamani pamoja na kuwa na watu wengi. Nenda Goba, kivumbi.... miji ya juzi. Mbagala ya zamani haina hadhi mpaka leo. kwanini?
Sehemu kubwa ya watu wa Dar hupata mahitaji yao huko mbagala kwa bei ya shamba! Mihogo, nyanya, vitunguu, ndizi, viazi, nk huuzwa kwa bei rahisi mno kama uko kijijini kabisa! Mama lishe pia huuza kwa bei ndogo sana! Ila mzunguko wa pesa huko ni mkubwa sana!
 
Back
Top Bottom