Kwanini ardhi ya Mbagala haina thamani?

Kwanini ardhi ya Mbagala haina thamani?

Waislamu mwaka huu watakoma.......yameibuka mashambulizi juu yao hata sielewi kisa ni nini?!!! Ni kejeli, ni matusi, ni shari juu yao mwanzo mwisho. Wengine wanaotukana ni wale waliofundishwa na waislamu hao hao namna ya kuvaa, kuongea na hata ustaarabu wa kuchamba. Walitoka kwao bara huko wakilalia ngozi mbichi za ng'ombe huku wengine wakikaa uchi pamoja na dada zao huku wakitumia magunzi ya mahindi kuchambia. Wakafika pwani (kwa waislamu) wakapokelewa na kuelekezwa wajihi wa kibinadamu ukoje hadi kuelewa, leo wanawatukana bila sababu.

M/Mungu atie wepesi wapite mtihani huu pia kama walivyopita mingine!
Mudi amewapoteza sana nyie watu! Kuchamba ni mabo ambayo mtu hafundishwi. Ndiyo maana mnatembea na chapaza maji akimaliza kukojoa anaosha dhakari na anus na bila sabuni anarudi kuepana mikono na watu. halafu mnajisifu ustaarabu. mwarabu hajawahi kuwa mstaarabu
 
Sehemu kubwa ya watu wa Dar hupata mahitaji yao huko mbagala kwa bei ya shamba! Mihogo, nyanya, vitunguu, ndizi, viazi, nk huuzwa kwa bei rahisi mno kama uko kijijini kabisa! Mama lishe pia huuza kwa bei ndogo sana! Ila mzunguko wa pesa huko ni mkubwa sana!
kwa biashara ndogo ndogo you are right! short of that hapafai
 
Sasa mtu wa maana akiemda huko ataishi vipi unafikiri, maana wachawi wote watakuangalia wewe, wezi wote watakutolea macho wewe, vibaka na majambazi macho yote kwako, omba omba na wapiga vibomu wote kwako, tell me, utaishi vipi hapo?
 
Haiko standard kijichi gani huko.kulikojaa uswahili kuanzia unapoingia maeneo ya kuingia kuelekea huko kuanzia mbagala mission ,sijui mgeni nani nk

Mtu hata ukiambiwa huko mbele Luna majumba ya nguvu hata hamu ya kwenda huna!!
Tatizo la kijichi ni kupita uko uswahilin
 
Hawa waswahili wa jamiiforums ni most arrogant, presumptuous and uppity suckers sijawahi ona full of condescension. Utakuta mtu anaandika haya kama yupo surbubs las vegas, manhattan new york au Massachusetts.
Kumbe kisa anaishi mbezi! au mikoani ndanindani huko vijijini anakula miwa.

Sehemu ninayokaa mimi ni mbagala na kuna nyumba kubwa za kisasa full geti zimejipanga vizuri. au nyie mnaongelea mbagala ipi?
Dar nzima mimi sioni tofauti yoyote, ni vumbi tu. na most wanaoandika hizi pumba utakuta wanatokea mikoani, hawatembei or some jobless idiots.

Na bado kuna wale mbuzi waliokunywa maji ya dini, religious fanatics na nonsense za ajabuajabu. wth? hauna kazi?
So damn strange! na bado kuna mjinga anaongelea civilization na hapohapo yeye anadefine na kugeneralize watu kutokana na dini?

What is this? nashangaa sana upeo wa watu wa JF, Na haya ndio madhara ya kujiona smart na una akili sana kuliko uhalisia.
Mara zote watu wenye uwezo mdogo kiakili huwa wanakosa uwezo wa kutambua udhaifu wao wenyewe, dunning kruger effect.

Watu wa jamiiforums sijawahi kukutana nao maishani kwangu, I guess fake IDs zinafichua uhalisia.

Africans are just a bunch of talking monkies.
Ukikutana na sisi utashangaa mkuu, tumepaukaaaa!
 
Mwai Kibaki road formerly Old Bagamoyo road, point ni kuwa Temeke iko nyuma kwa hapa Dar
Siko hapa kubishana mkuu. Temeke mwananyamala, goba, mbezi kimara, kwa mpalange, kigogo, tabata, tandale sijui.. kote ni uswazi tu. Usijitoe kwenye kundi eti unakaa goba. Mbona hayo mambo prof. LUGALA kayaandika. Research za ardhi chuo kikuu ardhi zinatoa mpaka saabbu
 
You might be right! Sehemu ambazo hazijapimwa vema ni shida . Mrundikano wa vijumba, ie vianja kama maeneo ya kujenga choo, na ustaarabu wa watu, uncivilised people. Mbagala ni wamakonde, wang'indo, wamatumbi wa Kilwa, Lindi Mtwara. Usitegemee ustaarabu kwa watu tpka huko.
Mbona watu wanasema jamii ya ukanda wa pwani ndiyo wastaarabu na ustaarabu ndiyo jadi yao Wabara wao wanaiga tu ustaarabu?
 
Mbona Dar yote uko sawa tu, sioni tofauti kubwa. Ukifika kimara wala hakuna mipango miji yoyote, sioni sewage system kimara wala mbezi "kwa wachagga", sioni barabara nzuri, sioni supermarkets zaidi sana ni vibanda vingi vya mangi na uchafu mwingi kama ilivyo kawaida ya mtanzania, ni mchafu mchafu tu wa mazingira.
 
Miaka nenda miaka rudi, ardhi ya Mbagala imekuwa haina thamani pamoja na kuwa na watu wengi. Nenda Goba, kivumbi.... miji ya juzi. Mbagala ya zamani haina hadhi mpaka leo. kwanini?
Thamani ya ardhi ni pamoja na-
-urahisi wa kufika huko(Mbagala iko DSM, lakini kufika huko ni masaa mawili hadi 3)
-aina ya majirani na kipato chao(Mbagala wananchi wengi wa kipato cha chini)
-biashara zilizopo(predominantly machinga)
-miundombinu ya maji, umeme
-hali ya usalama (panya rodi wanazalishwa wapi)

n.k.....n.k....n.k....!
Halafu kw Mbagala linganisha na Goba kwa vitu vyote hivyo.
 
Siko hapa kubishana mkuu. Temeke mwananyamala, goba, mbezi kimara, kwa mpalange, kigogo, tabata, tandale sijui.. kote ni uswazi tu. Usijitoe kwenye kundi eti unakaa goba. Mbona hayo mambo prof. LUGALA kayaandika. Research za ardhi chuo kikuu ardhi zinatoa mpaka saabbu
Huwezi fananisha na Mbagala
 
Goba pa kishua Sana aisee ni eneo flani hv uzungu mwingi , hakuna uswahili kule hata chembe , alaf kila mtu na time zake yaan , mpak unakutana na mbezi beach full kipupwe, sasa huko sjui mbagala , yaan Temeke yote pa kisenge mno, sishawishi mtu kwenda kule , huko ndo HQ ya panya road, ndo sehemu yenye joto Kali DSM nzima
Goba, madale in short maisha expensive sana kuanzia vyumba mpaka vitu vya kawaida
 
Mwanangu una silibaa
[emoji1]
Mm nafatilia cmnt tu

Ova

Kaamua kuwasagia kunguni japo ndugu zangu katika imani maeneo mengi kiukweli walipo maendeleo yakuonekana ni kidogo sana .
 
Anachojaribu kueleza ni kuwa maeneo mengi yenye waislamu wengi hayana maendeleo mfano miji ya zamani kama Pangani,Ujiji,Bagamoyo ,Kilwa nk ilitakiwa yawe majiji tena makubwa kuliko Dar,Arusha au Dodoma,au Mbeya,Kahama ,Mwanza nk

Lakini wakazi wake wengi waislamu sijajua shida nini wanasomeshana Alubadiri ili wasifanye maendeleo binafsi makubwa au ni nini? Sababu wengine unakuta pesa wanazo kibao na wasomi sana tu na pesa wanazo lakini hata nyumba tu wanazoishi haziakisi uwezo wa pesa walizonazo!! Tofauti na watu wa dini zingine kama wahindu ,Wakristo na wabudha au wakinga wasio na dini waabudu mizimu .Nyumba za waislamu wengi za kawaida mno !! Pesa wanapeleka wapi?

Halafu kitu cha kushangaza hadi hua najiuliza matajiri wengi wakubwa nchi hii ni waislamu na wafanyabiashara wazuri kwenye jiji kwa mfano la Dar ni waislamu lakini hali hiyo ya kutokua mbele ya muda inasababishwa na nini? Temeke na mbagala miji mikongwe kuliko kimara lakini kimara ni kuzuri sana
 
Back
Top Bottom