Kwanini ardhi ya Mbagala haina thamani?

Kwanini ardhi ya Mbagala haina thamani?

Halafu kitu cha kushangaza hadi hua najiuliza matajiri wengi wakubwa nchi hii ni waislamu na wafanyabiashara wazuri kwenye jiji kwa mfano la Dar ni waislamu lakini hali hiyo ya kutokua mbele ya muda inasababishwa na nini? Temeke na mbagala miji mikongwe kuliko kimara lakini kimara ni kuzuri sana
Kwenye jamii Kuna matabaka, kwa Tanzania matajiri wakubwa ni waislamu hilo halina ubishi, ila Kuna upper middle class hapa Kuna wakristo wengi Ila waislamu wachache, Kuna lower middle class hapa ni mchanganyiko na poor hapa napo ni mchanganyiko
 
Waislamu mwaka huu watakoma.......yameibuka mashambulizi juu yao hata sielewi kisa ni nini?!!! Ni kejeli, ni matusi, ni shari juu yao mwanzo mwisho. Wengine wanaotukana ni wale waliofundishwa na waislamu hao hao namna ya kuvaa, kuongea na hata ustaarabu wa kuchamba. Walitoka kwao bara huko wakilalia ngozi mbichi za ng'ombe huku wengine wakikaa uchi pamoja na dada zao huku wakitumia magunzi ya mahindi kuchambia. Wakafika pwani (kwa waislamu) wakapokelewa na kuelekezwa wajihi wa kibinadamu ukoje hadi kuelewa, leo wanawatukana bila sababu.

M/Mungu atie wepesi wapite mtihani huu pia kama walivyopita mingine!
Mkuu mtaani hali ni shwari tu ila hapa jf huwa Kuna misimu, msimu wa "siasa" ukigoma kama sasa hivi kadema CCM nk hawana jipya sasa upepo umeelekea mwenye DINI!
 
Kuwa serious kidogo mkuu
Nenda vingunguti, manzese, tandale hiyo kinondoni yenyewe kuna maeneo na maeneo kinondoni ksiwani mabondeni huko kabali nje nje, nenda mwananyamala kwa mnyamani halafu rudi hapa. Wengi wenu hamuijui Dar mnaisikia tu kwenye taarifa ya habari zunguka Dar nzima ndio uje ukanushe.
 
Miaka nenda miaka rudi, ardhi ya Mbagala imekuwa haina thamani pamoja na kuwa na watu wengi. Nenda Goba, kivumbi.... miji ya juzi. Mbagala ya zamani haina hadhi mpaka leo. kwanini?
Kinachoongeza thamani ya ardhi ni hadhi ya watu wanaoenda kujenga huko!!!… sasa mbagala walala hoi wamejaaa nai aipe thamani
 
Thamani ya ardhi ni pamoja na-
-urahisi wa kufika huko(Mbagala iko DSM, lakini kufika huko ni masaa mawili hadi 3)
Hizo story umetoa wapi? Kutoka mbagala mpaka mjini ni dk 30 tu.
-aina ya majirani na kipato chao(Mbagala wananchi wengi wa kipato cha chini)
-biashara zilizopo(predominantly machinga)
Mbagala kuna branches zote za bank unazozijua wewe unapata wapi guts za kusema hivyo?
-miundombinu ya maji, umeme
Miundo mbinu ya maji huwezi kulinganisha na sehemu yoyote ile' mbagala haijawahi kuwa na changamoto ya maji hata siku moja
-hali ya usalama (panya rodi wanazalishwa wapi)
Mbagala hapajawahi kuwa na panya road panya road wapo temeke,buza, yombo,gongo la mboto na kitunda
n.k.....n.k....n.k....!
Halafu kw Mbagala linganisha na Goba kwa vitu vyote hivyo.
Hebu niambie hiyo goba yako Ina branches zote za bank kushinda mbagala? Uko goba c ndio kila siku watu wanalia na mgao wa maji.
Ni rahisi sana mtu wa mbagala kufika mjini tofauti na mtu wa goba
 
Nenda vingunguti, manzese, tandale hiyo kinondoni yenyewe kuna maeneo na maeneo kinondoni ksiwani mabondeni huko kabali nje nje, nenda mwananyamala kwa mnyamani halafu rudi hapa. Wengi wenu hamuijui Dar mnaisikia tu kwenye taarifa ya habari zunguka Dar nzima ndio uje ukanushe.
Hatukatai ila Temeke ndo inaongoza kwa hizo mambo.

Wewe unaijua Dar unataka kutuambia Vingunguti iko wilaya Kinondoni?? 🤣🤣🤣
 
Sio kweli, ukibahatika kutembelea mataifa ya kiislamu ya ghuba hutaandika hivi.

Mataifa ya kiislam ya ghuba yote hayana demokrasia.
Huko saudi arabia wananchi hawana haki wanatawaliwa kibabe na ukoo mmoja tu. Wakikosoa wanakatwa shingo mfano khashoggi..

Kuna dada aligoma kuolewa na mzee maana dini inaruhusu, akakataa wakataka kumuua akakimbila canada

Hakuna nchi inayofata shariah za kiislamu hata moja ambayo inafata demokrasia... hakuna ambayo rais anachaguliwa kwa kupigiwa kura.

Yaani ni ukoo mmoja tu ndio unaendesha nchi kama family business vile
 
Baki hivyo wakati akina Manji mabilionea walikuwa na maeneo hadi kuwa diwani wa Mbagala kuu.

Je Manji alikuwa anaishi mbagala?

Manji Diwani mbagala huku Anaishi Upanga.

huko Mbagala anafanya uwekezaji tu hasa biashara ya kupangisha ma Godown na yard za Malori
 
Halafu kitu cha kushangaza hadi hua najiuliza matajiri wengi wakubwa nchi hii ni waislamu na wafanyabiashara wazuri kwenye jiji kwa mfano la Dar ni waislamu lakini hali hiyo ya kutokua mbele ya muda inasababishwa na nini? Temeke na mbagala miji mikongwe kuliko kimara lakini kimara ni kuzuri sana
Kimara kuna uzuri gani mkuu? Au unapozungumzia uzuri wa eneo una maana gani?
 
Mataifa ya kiislam ya ghuba yote hayana demokrasia.
Huko saudi arabia wananchi hawana haki wanatawaliwa kibabe na ukoo mmoja tu. Wakikosoa wanakatwa shingo mfano khashoggi..

Kuna dada aligoma kuolewa na mzee maana dini inaruhusu, wakataka kumuua akakimbila canada

Hakuna nchi inayofata shariah za kiislamu hata moja ambayo inafata demokrasia... hakuna ambayo rais anachaguliwa kwa kupigiwa kura.

Yaani ni ukoo mmoja tu ndio unaendesha nchi kama family business vile
Lkn umeonaje maendeleo yao kama NCHI?
Mfano Nchi hizi ndizo hazina mfumo wa Kupiga kura ni absolutely monarchy na ndio NCHI asilimia 100% ni waislam hebu dadavua kidogo tuje unaelewa nini kuhusu maendeleo.

1)Saudi Arabia
2)Qatar
3)U.A.E
4)Kuwait
5)Oman
6)Bahrain
 
Vingunguti iko ilala unajingine! Au Jiografia yako inakwambia vingunguti iko Temeke?
Sisi tunazungumzia maeneo yaliyo wilaya ya Kinondoni na Temeke hatuzungumzii Ilala.

Nashangaa mwenzetu kuitaja Vingunguti pamoja na maeneo ya Kinondoni
 
Back
Top Bottom