Kwanini Arusha huwa inahujumiwa makusudi?

Hawajaanza leo. Ilihali watu wa Arusha tangu zamani wanachangia pato kubwa la Taifa kwa uchakarikaji ila serikali inawatenga.

Sehemu kubwa ya miradi ya maendeleo sasahivi Arusha inafanywa na wenyeji wenyewe.
Acheni ubinafsi na upumbavu mnatengwa kwa lipi au mnataka kila kitu kipelekwe kwenu je watu wa mikoa mingine wasemeje, mbona watu wa Mikoa mingine hawalii kama nyie, mnapenda sana mbeleko za kijinga.
 
Pole Sana kaka nadhani ukweli unaujua Arusha Ndio namba 2 kwa tax and revenue collector baada ya Dar Sasa endelea kujitekenya na kucheka mwenyewe
Tax kwa kujimilikisha serengeti national park na bado mnatoa machozi kila iitwayo leo subiri utawala wa majimbo uje ili mzidi kulia na kusaga meno.
 
Hicho kitu hakita kuja kutokea abadani Arusha ni mkoa Kama ilivyo mikoa mingine ajabu ni kwamba mnalilia tu mbona Kilimanjaro hawa lii Kama nyie watu wa R-chuga ?

Unasema Arusha ina resources potential zipi ambazo mikoa mingine hazina hizo resources ? Kwa walio tembea mikoa mbali mbali hapa Tanzania hasa majiji Kama Dar, Mwanza,Mbeya na Tanga hawawezi kuona kitu special chochote hapo Arusha
 
Tatizo ni siasa, Arusha miaka mingi imekuwa ikionekana kama jiji la upinzani, hivyo serikali ya CCM huacha kupeleka maendeleo makusudi ili wapinzani waonekane hawana msaada wowote kwa wananchi.
Mkuu vijana wengi wa kutoka Arusha ni washamba Sana ndio maana hata Uchumi wa mkoa wao hawa umiliki wao bali ni vijana toka Moshi ndio wenye Maisha mazuri Arusha wameru walikalia kuvuta bhangi na kufanya biashara za magendo wakivaa viatu vikubwa na masharti ya mtumba wanajiona Wana sifa ya kuwa nchi [emoji1787][emoji1787]
 
Nini kinakuzuia kuja kuishi kwenye miji inayopendeleaa kama Dar, ilihali hauitaji Passport wala VISA kuja?
Hawezi ishi jiji la wajanja maana hao ujanja wao ni kuvaa masharti makubwa na viatu vikubwa mbaya zaidi mitumba Sasa Dar jiji smart kuanzia kichwani mpaka mavazi ukija na ushamba wa ki-arusha utaonekana kituko

NB: Dar sio kwa kila mtu mkuu
 

Kabisa mimi kwa dhati kabisa naunga mkono The United States of Arusha.

Vijana wa Arusha simama imara tujitenge. Tukiendelea na hii nchi yakuitwa Tz umasikini kamwe hauwezi isha.

Hili vuguvugu la kujitenga lisiishe. Hata kama haitafanikiwa leo basi watoto wa watoto wetu.

Arusha kwanza.
 
Hawajaanza leo. Ilihali watu wa Arusha tangu zamani wanachangia pato kubwa la Taifa kwa uchakarikaji ila serikali inawatenga.

Sehemu kubwa ya miradi ya maendeleo sasahivi Arusha inafanywa na wenyeji wenyewe.

Arusha kujitenga ndiyo suhulisho. Tuanze vuguvugu mara moja. La sivyo maendeleo ya Chuga yatachelewa sana.
 
Geneva Of Africa

Tatizo la watu wa Arusha ni kuichukulia Arusha km Nchi sio Arusha km Mkoa

Arusha sio Nchi mkiondoa hio mentality soon mtapata maendeleo ila mkibaki na hio mentality mtapitwa hata na Lindi sio Zanzibar tu,

Arusha inahujumiwa na serikali. Na sisi tunasema hatuihitaji hiyo serikali. Tukipata upenyo lazima tuunde nchi yetu
 
Si unaona kitu km hichi sasa? Hiki ndio kinafanya mnapigwa PIN, huu ujinga wakubwa wanaujua na ndio hawautaki ujinga km huu Arusha sio Nchi, mmemezeshwa mentality za kwamba Arusha ni Nchi kitu ambacho sio kweli Nchi ni moja tu JMT

Haijalishi.

Leo arusha ni mkoa lakini baada ya miaka kadhaa itakuwa nchi. Hili vuguvugu halitapoa.
 
Ulivyoandika utafikiri hiyo Arusha ipo Kenya vile...
 
Arusha ikijitenga tutatumia resource zetu kwa manufaa ya watu wetu.

1- barabara nzuri za mitaa na vijiji.
2- mazingira daraja la kwanza kuvutia na kukuza tourism
3-biashara ya madini kuimarishwa
4-shule bora, huduma za afya bora
5-kiwanja cha kimataifa cha ndege
6-pesa nyingi itapelekwa kwenye elimu ili watoto wetu wapate elimu ya kisasa na si bora elimu.
7-tourism pekee itatoa ajira kwa watu wetu wengi, kuanzia watu wa mahoteli, tour guides, tour operators, vijana wanaofanya ujasiriamali unaolenga watalii, hawa wote watapata pesa.

Tusirudi nyuma, Arusha kuwa nchi huru haikwepeki tena.
 
Jiongeze bana
 
Kwanza nikuulize. Unajua tofauti ya Arusha City na Arusha DC?
 
Naona tatzo kubwa ni kuwa kambi ya upinzan,waliona wakipaendeleza itaonekana upinzan unafanya kazi
 
Ccm nao wanalalamika wanasema Arusha City ina wahujumu

Kwahyo mnahujumiana na chama kilichoshika serikali
 
Arusha kama hujui ni mkoa umekuzwa na serikali ,wenyewe haujitambui hata hayo madini unayosema sio mengi kushinda kanda za ziwa ,,kaeni chini mshukuru mungu kwanza hata kujengewa binge la EAST AFRICA unajua impacts zake au unaongea ..kamkoa ambacho kina population ndogo na kana SEHEMU ndogo ya mji zaidi ya mapori .... Serikali ndo imefanya kuwa JJ la kitalii kama kweli hesabu he hotel zote ni zenu.

Hayo mapato n kutokana na vitu official hamna kitu mnazlisha kupeleka mkoa mwingine zaidi ya hayo majengo ambayo ni policy nzuri ya serikali katika kuimarisha utalii ulisaidia huo uwekezaji.


Halafu acha kufananisha zanzibar na upumbavu wenu.. zanzibar na dar ziko fully katika kila sekta tuanze na usafiri then angalia Kuna bahari.
 
Nyie mko wachache 😂😂😂sana hata population ya miaka ijayo mtabaki 2mil kamili..serikali ndo imejenga mji huo hamna kitu cha asili zaidi ya kujifanya nyie na Kilimanjaro ni mkoa mmoja.
 
Nyie mko wachache [emoji23][emoji23][emoji23]sana hata population ya miaka ijayo mtabaki 2mil kamili..serikali ndo imejenga mji huo hamna kitu cha asili zaidi ya kujifanya nyie na Kilimanjaro ni mkoa mmoja.

Unajichekesha nini hasa?

Arusha inahujumiwa makusudi na serikali dhalimu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…