Arusha ikijitenga tutatumia resource zetu kwa manufaa ya watu wetu.
1- barabara nzuri za mitaa na vijiji.
2- mazingira daraja la kwanza kuvutia na kukuza tourism
3-biashara ya madini kuimarishwa
4-shule bora, huduma za afya bora
5-kiwanja cha kimataifa cha ndege
6-pesa nyingi itapelekwa kwenye elimu ili watoto wetu wapate elimu ya kisasa na si bora elimu.
7-tourism pekee itatoa ajira kwa watu wetu wengi, kuanzia watu wa mahoteli, tour guides, tour operators, vijana wanaofanya ujasiriamali unaolenga watalii, hawa wote watapata pesa.
Tusirudi nyuma, Arusha kuwa nchi huru haikwepeki tena.