Kwanini Arusha huwa inahujumiwa makusudi?

Kwanini Arusha huwa inahujumiwa makusudi?

Wewe ni mjinga mmoja.

Wakazi wa arusha hawana shida na Watanzania wa kawaida ambao wengi ni masikini.

Hoja hapa ni serikali kupuuza mkoa wa Arusha.

Umeelewa dada?
Angalia umaskini mkubwa uko longido Tanzania nzima ...kuwa muelewa unadanganywa na hoteli hujawai hata kununua maji 😂😂😂

Maskini wa kutupa watu wasiokuwa wanajua hata rais wa Tanzania tindiga/ hadzabe wanaishi huko
 
Oyaa sijakutusi tumia lugha ya staha tuheshimiane sawa, tumia lugha ya heshima matusi yako weka mfukoni km unataka mjadala na mimi hutaki pita kutosho

Ninapotoka jinga si tusi.

Jinga ni mtu flani hivi umri mkubwa lakini anamawazo yakijingajinga kama wewe.
 
Kwa hio 11 Ni asilimia 89 zidi ya 7😁 we Bora uende bangbross ukapigwe 3some haya maswala nyeti usiingie kabisa

By the way siishi Arusha Wala sijawahi ishi huko
Angalia hyo 11% ndo mikoa yote iliyobaki😂😂😂
 

Attachments

  • Screenshot_20221111-130148.png
    Screenshot_20221111-130148.png
    236.3 KB · Views: 12
Hivyo vyote ni mali ya foreign investment, hata royal tour ni mali ya foreign investment toka uko pangoni ulikojificha huku tunaishi dunia nyingine

Wewe itakuwa ni mental case.

Unajaribu kusema nini?

“Mali ya foreign investment” ndiyo mdudu nani huyo?

Hebu soma ulichoandika uone kama ina make sense.

Ukimaliza, rudi hapa.
 
Kama Ndio tunatengwa na kubaguliwa kiasi hiki itabidi tuizindue Republic of Arusha (USA)~United state of Arusha tujitegemee vizuri na Resources zetu za Arusha zinatutosha kabisa km serikali inatuhujumu kias hiki ,inakuwaje jiji la KITALII km wanavyo liita hata uwanja wa ndege wa kimataifa hakina lakini wakati huo huo viwanja vya ndege vinajengwa mikoa mingine kila kukicha hata stendi ,tu ya kisasa hakuna Ila Cha ajabu stendi inajengwa singida ,Arusha the hub of tourism panapotezewa tangu Uhuru mpaka Sasa km vile hawapaoni mwisho utafika tu tumechokaaa sisi
Hii ndo sababu kuu mnatengwa kumbe bado mna mawazo Yale ya wazee akina Maleale ya kijitenga basi mjipange upya mtulie tuuuli
 
Potentialllity ya mkoa kiuchumi..hatupimi Kwa Kodi tu ..ni sawa mnashika namba mbili ,vipi kuhusu GDP yenu ..ikiwa mna GDP ndogo maana yake potential ya uimara wenu kiuchumi ni ndogo ..hizo Kodi mnapata mainly kwenye sekta ya utalii
Ikiwa uchumi wenu hauna diversity lazima mtayumba tu ,,ndo maana wakati wa corona Arusha Hali ilikuwa mbaya ....
Ukilinganisha na mwanza ,,, mwanza wao wanabebwa na vitu viwili population na GDP ... uchumi wa mwanza uko na diversity kubwa ukilinganisha na Arusha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Angalia umaskini mkubwa uko longido Tanzania nzima ...kuwa muelewa unadanganywa na hoteli hujawai hata kununua maji [emoji23][emoji23][emoji23]

Maskini wa kutupa watu wasiokuwa wanajua hata rais wa Tanzania tindiga/ hadzabe wanaishi huko

Nauhakika Hadza people wanakuzidi IQ.

Bahati nzuri nimeishi nao. Ninawafahamu.

Indigenous people hawana muda kufuatilia viongozi wajinga.

Wanaishi maisha yao waliojipangia wenyewe.

Hakuna wakuwabadilisha. Sawa wewe dada?

Kuhusu sehemu za Arusha kuwa na jamii masikini?

Hiyo ndiyo sababu tunasema serikali LAZIMA
irudishe pesa za watu wetu kwa kuwajengea miundombinu bora ya maji, umeme, shule, hospital, usafiri etc.

Nikuulize, hoja yako ni nini hasa?
 
Metropolitan ya mji wowote inapimwa kwenye eneo la mji na sio mkoa ...
Metropolitan population ya mwanza (ilemela na nyamagana)ni 1.1 m (2022 aprox)
Metropolitan ya dar 5 milioni
Metropolitan ya dodoma ni 600k ...
Hamna sehemu wamesema metropolitan ya mwanza ni watu milioni 3.7 ambayo ni population ya mkoa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nauhakika Hadza people wanakuzidi IQ.

Bahati nzuri nimeishi nao. Ninawafahamu.

Indigenous people hawana muda kufuatilia viongozi wajinga.

Wanaishi maisha yao waliojipangia wenyewe.

Hakuna wakuwabadilisha. Sawa wewe dada?

Kuhusu sehemu za Arusha kuwa na jamii masikini?

Hiyo ndiyo sababu tunasema serikali LAZIMA
irudishe pesa za watu wetu kwa kuwajengea miundombinu bora ya maji, umeme, shule, hospital, usafiri etc.

Nikuulize, hoja yako ni nini hasa?
😂😂😂 Hao jamaa hata nguo hawajui ...bado wako kibao hawana hata shule moja
 
Arusha maeneo yote wanayoringia hayapo mkoani kwao.

Walikuwa wanaringia Tanzanite na Mererani hili eneo lipo wilaya ya Simanjiro mkoa wa Manyara

Walikuwa wanaitaja Serengeti hii mbuga ipo Mkoa wa Manyara, Mara na Simiyu.
Sasa hivi mageti ya kuingia hifadhini yanafunguliwa Simiyu, Mara.
Pakijengwa uwanja wa kisasa wa Ndege Mwanza ujue Arusha inazikwa.
Kwa sababu ni karibu zaidi kutoka Mwanza kwenda Serengeti kuliko Arusha.

Mlima Kilimanjaro upo mkoa Mwingine yaani Moshi.

Hivyo unagundua Arusha itazidi kunywea baada ya miaka 15 ijayo.

Watake wasitake
Wewe Ng'ombe hakuna mkoa wa Moshi.
 
Unataka matusi basi wewe ni Shoga Punga Malaya ninakotoka Punga ni yule anaepumuliwa kwa nyuma

Click Report Button
FUCKYU

Wewe kubwa jinga tulia sindano ikuingie.

Utapona tu hata kama unadhani utakufa.

Haya turudi kwenye mada.

Labda nikukumbushe, hapa tunazungumzia serikali kupuuza mkoa wa Arusha.

Binafsi nikiona miundombinu isiyoeleweka nachukia sana. Tazama hali ya umeme, barabara zetu, maji.

Ningekuona wa maana ungekubali hata hapa ulipo mna changamoto kama nilivyosema hapo huu badala yake unakata kiuno kama binti aliyefundwa na kungwi from Zanzibar.
 
Wewe ni mjinga mmoja.

Wakazi wa arusha hawana shida na Watanzania wa kawaida ambao wengi ni masikini.

Hoja hapa ni serikali kupuuza mkoa wa Arusha.

Umeelewa dada?
Hako Ni kadada kamalaya hajui hata wanaume wake wanapataje pesa
 
[emoji23][emoji23][emoji23] Hao jamaa hata nguo hawajui ...bado wako kibao hawana hata shule moja

Hadza people ni indigenous people.

Wao hawahitaji unachohitaji wewe.

Muhimu kuwalinda kwa kuhakikisha mapori yao wanayotumia kwa uwindaji hayavamiwi na wakulima.

Inaonyesha wewe ni kubwa jinga au kijana mdogo asiyetaka kushirikisha ubongo katika kufikiri.
 
Hadza people ni indigenous people.

Wao hawahitaji unachohitaji wewe.

Muhimu kuwalinda kwa kuhakikisha mapori yao wanayotumia kwa uwindaji hayavamiwi na wakulima.

Inaonyesha wewe ni kubwa jinga au kijana mdogo asiyetaka kushirikisha ubongo katika kufikiri.
😂😂😂👉Kuwa na hoja then act smart

Wengi mnazimba vichwa kupenda battle coz hamjiamini kila siku mara ivi mara vile..still ni minority in terms of population
 
Tena tuheshimiane **** la mama yako uwe na heshima sio unatukana watu ovyo ovyo shogamzee wewe

Click Report Button **** la mama yako shoga wewe nenda kafirwe na Moderator sasa
Namashaka na elimu yako wewe mbona Sija kuquote 😂 huyo Texas Tiger alimuita dada Accumen Mo na mm nikajazia hapo kuwa Ni kadada Malaya Sasa wewe binti mwngne umetoka wapi😁 umechomolewa mkuyenge sa hivi umekuja kurupuka hujui hata una mquote Nani ..hivi unajua tumia JF kwanza
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji117]Kuwa na hoja then act smart

Wengi mnazimba vichwa kupenda battle coz hamjiamini kila siku mara ivi mara vile..still ni minority in terms of population

Wewe jinga inaonyesha huelewi unachosimamia.

Sasa kuzidiwa au kutozidiwa population hiyo inanisaidia nini mimi?

Hapa tunazungumzia serikali kupuuza arusha.
 
Shida Arusha mnaifinyaga mikono iliyopaswa kuwalisha.
Cyo tunajifanya tunaongea ukweli sababu ya tunazitambua potentially resources Adimu ambazo zipo Arusha hazitunufaishi sisi hata tone badala yake zinaenda kunufaisha mikoa mingine hasa dar,na mwanza, alafu sisi tunaachwa yatima hatukubali huu ujinga unaofanywa na SERIKALI tupo mbioni kuform Arusha republic ,United State of Arusha ili tuijenge Arusha kwa resources zetu kwani serikali inafanya maksudi kuihujumu ARUSHA hatukubali Tena hii kitu uvumilivu umetushinda
 
Back
Top Bottom