Kwanini Arusha huwa inahujumiwa makusudi?

Kwanini Arusha huwa inahujumiwa makusudi?

Cyo tunajifanya tunaongea ukweli sababu potentially resources Adimu ambazo zipo Arusha hazitunufaishi sisi hata tone badala yake zinaenda kunufaisha mikoa mingine hasa dar,na mwanza, alafu sisi tunaachwa yatima hatukubali huu ujinga unaofanywa na SERIKALI tupo mbioni kuform Arusha republic ,United State of Arusha ili tuijenge Arusha kwa resources zetu kwani serikali inafanya maksudi kuihujumu ARUSHA hatukubali Tena hii kitu uvumilivu umetushinda
Resources Gani mlizo nazo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cyo tunajifanya tunaongea ukweli sababu potentially resources Adimu ambazo zipo Arusha hazitunufaishi sisi hata tone badala yake zinaenda kunufaisha mikoa mingine hasa dar,na mwanza, alafu sisi tunaachwa yatima hatukubali huu ujinga unaofanywa na SERIKALI tupo mbioni kuform Arusha republic ,United State of Arusha ili tuijenge Arusha kwa resources zetu kwani serikali inafanya maksudi kuihujumu ARUSHA hatukubali Tena hii kitu uvumilivu umetushinda

Resources nyingi za Arusha hazinufaishi arusha.

Na hiyo HAIKUBALIKI

Haiwezekani pesa zote zinazotoka huu mkoa halafu maji shida, barabara shida, vijana wetu na mama zetu wanaishi kwa shida.

Hiyo haikubaliki.
 
Wewe ndio Kichaa zumbukuku. Haya ninakutajia Mradi mkubwa wa maji uliopo Sekei Arumeru unaosupply maji mpaka wilaya ya Monduli....kisima kilichimbwa na Wananchi na chemchem zote ziliunganishwa mabomba na Wananchi tangu mwanzoni.

Jeshi ndio ikaja kuunganisha mabomba kwenda TMA

uliza lingine Dada.
Ulichoandika umeandika kwa jazba plus matusi, sisi wazee huwa hatujibu kwa ujinga na utoto.

Nakusahihisha kuwa umesahau nguvu ya serikali ndiyo iliyowezesha kufanikisha hilo na elewa pasipo serikali ya wananchi hakuna lolote mwananchi anafanya yeye kama yeye.

POLE SANA.
 
Wewe jinga inaonyesha huelewi unachosimamia.

Sasa kuzidiwa au kutozidiwa population hiyo inanisaidia nini mimi?

Hapa tunazungumzia serikali kupuuza arusha.
Kelele za nn? Sasa unapayuka mtoto wa kiume .
 
Angalia hyo 11% ndo mikoa yote iliyobaki😂😂😂
Waambie kaka Arusha Haina mpinzani nchini inashika no,2 ki revenue na tax collection mwanza yenyewe haioni ndani mwanza bado % ndogo Sana ipitwe na Kilimanjaro ,halafu mnataka tunyamaze sisi watu wa Arusha cyo majinga tunaakili,tunajitambua ,hatuwez kubali hata kidogo resources zetu zilizopo Arusha zinanufaisha mikoa mingine ambayo hata cyo potentially hata kidogo halafu sisi tunaachwa maksudi tangu tupate Uhuru tupo vile vile ,hakuna mabadiliko yoyote Arusha alafu mapato yote yanakusanywa Arusha yanaenda kujenga dar,flyover,bridges,barabara,halafu sisi tunaachwa maksudi huu ujinga tumechshwa napArusha republic ipo mbioni kukamilika ili tuijenge Arusha kwa resources zetu wenyew ambazo Mungu ameibariki nazo Arusha ,nadhani hata Mungu hafurahii kuona serikali inavyoihujumu Arusha kimaksudi na kukusanya mapato potentially halafu kwenda kujenga miradi ya maendeleo dar,mwanza,Zanzibar huu ujinga hatuwez kuuvumilia Tena
 
Ulichoandika umeandika kwa jazba plus matusi, sisi wazee buwa hatujibu kwa ujinga na utoto.

Nakusahihusha kwa kusahau nguvu ya serikali ndiyo iliyowezesha kufanikisha hilo na elewa pasipo serikali ya wananchi hakuna lolote mwananchi anafanya yeye kama yeye.

Pole sana.
Usibishane nae uelewa ni mdogo ni wale vijana wavaa nguo oversize hawajitambui wanakaririshwa kwamba wao wachapa kazi sijui mji wamejnga wenyewe 😂😂😂
 
Waambie kaka Arusha Haina mpinzani nchini inashika no,2 ki revenue na tax collection mwanza yenyewe haioni ndani mwanza bado % ndogo Sana ipitwe na Kilimanjaro ,halafu mnataka tunyamaze sisi watu wa Arusha cyo majinga tunaakili,tunajitambua ,hatuwez kubali hata kidogo resources zetu zilizopo Arusha zinanufaisha mikoa mingine ambayo hata cyo potentially hata kidogo halafu sisi tunaachwa maksudi tangu tupate Uhuru tupo vile vile ,hakuna mabadiliko yoyote Arusha alafu mapato yote yanakusanywa Arusha yanaenda kujenga dar,flyover,bridges,barabara,halafu sisi tunaachwa maksudi huu ujinga tumechshwa napArusha republic ipo mbioni kukamilika ili tuijenge Arusha kwa resources zetu wenyew ambazo Mungu ameibariki nazo Arusha ,nadhani hata Mungu hafurahii kuona serikali inavyoihujumu Arusha kimaksudi na kukusanya mapato potentially halafu kwenda kujenga miradi ya maendeleo dar,mwanza,Zanzibar huu ujinga hatuwez kuuvumilia Tena
Ebu jifunze kuandika kwanza.
 
Namashaka na elimu yako wewe mbona Sija kuquote 😂 huyo Texas Tiger alimuita dada Accumen Mo na mm nikajazia hapo kuwa Ni kadada Malaya Sasa wewe binti mwngne umetoka wapi😁 umechomolewa mkuyenge sa hivi umekuja kurupuka hujui hata una mquote Nani ..hivi unajua tumia JF kwanza
😂😂😂Vijana njooni niwape elimu ya kujitambua izo bhangi tulivuta tukiwa wadogo ...Ndo maana uhuni uko unafanya now kwamba ndo ujanja sisi tulifanya tukiwa underground kwa sasa tunaelewa nn tunafanya!
 
Usibishane nae uelewa ni mdogo ni wale vijana wavaa nguo oversize hawajitambui wanakaririshwa kwamba wao wachapa kazi sijui mji wamejnga wenyewe 😂😂😂
CYO usibishane nae sisi watu wa Arusha cyo wajinga tunajitambua Ndio maana tumeungana kupinga na hatuwez kubali Tena ujinga unaofanywa na SERIKALI kuchukua mapato potentially Arusha halafu kupaacha Arusha hakuna miradi yoyote ya maendeleo halafu badala take mapato yanatolewa Arusha yanaenda kujenga dar,maflyover,bridges,na miradi mingine mikubwa kila kukicha alafu Arusha tangu tupate Uhuru hakuna miradi yeyote inayofanywa na SERIKALI,Sasa wewe unadhani sisi Ni wajinga km ww unataka tulinyamazie swala hili polee sisi tumeungana tayari tumejipanga tayari hatutaki tena huu ujinga unaofanywa na SERIKALI uendelee mwisho wake utafika soon
 
Acha ufala bwege wewe kwani huwezi kulia lia na limji lako bila kuitaja Mwanza, usipoitaja Mwanza unadhani hautosikika, pambana na lijiji lako acha kutaja miji ya watu kifala, hiyo Arusha inakalishwa na Geita kwa gdp bado unalialia kama umekalia mkuyenge.

duh!
 
Ndio Sababu tunazo natural resources very unique ambazo tunauwezo wa kuzitumia na kuijenga Arusha wenyewe na Arusha ikawa zaidi ya newyork kimaendeleo Apo unalo la kusema tena eeeh
Shida Arusha mnaifinyaga mikono iliyopaswa kuwalisha.
 
CYO usibishane nae sisi watu wa Arusha cyo wajinga tunajitambua Ndio maana tumeungana kupinga na hatuwez kubali Tena ujinga unaofanywa na SERIKALI kuchukua mapato potentially Arusha halafu kupaacha Arusha hakuna miradi yoyote ya maendeleo halafu badala take mapato yanatolewa Arusha yanaenda kujenga dar,maflyover,bridges,na miradi mingine mikubwa kila kukicha alafu Arusha tangu tupate Uhuru hakuna miradi yeyote inayofanywa na SERIKALI,Sasa wewe unadhani sisi Ni wajinga km ww unataka tulinyamazie swala hili polee sisi tumeungana tayari tumejipanga tayari hatutakibtena huu ujinga unaofanywa na SERIKALI uendelee mwisho wake utafika soon
😂😂😂Kwamba wewe mna hotel moja ya kifamilia nyie kweny familia yenu..au wafuata mkumbo ...Pambana lazima uumie roho kwani ni kwenu ila ukweli ni serikali ndo imefanya mpaka nyie kuwa hapo
 
Wadau naombeni mnisaidie majibu Ni Kwanini Kila kitu ARUSHA CITY huwa inahujumiwa kwa maksudi kabisa ikiwemo,miradi ya maendeleo kama Stendi ya mabasi, Uwanja wa kisasa wa ndege, na mengine mengi na ukiangalia ARUSHA CITY Ndio city namba 2 kwa tax revenue collector baada ya Dar city na Ni sehemu unique ambayo Ni POTENTIAL yenye Resources Adimu sana Sana kwa nchi hii hata Mwanza haikaribii ARUSHA kimapato hata kidogo nadhani hili mwalifahamu uzuuri.

Natumai mu wazima nyote humu ndani poleni na majukumu , Naomba mrejee kichwa Cha habari hapo juu hiyo Ndio mada lengwa hivyo kwa leo naomba nianze na issue ya TAKWIMU (metro area population ya Arusha city Uki search Google itakuja na kuleta idadi ya watu 519,000, yaani idadi hii inayoleta Ni idadi ya watu ya ARUSHA DC tu yaani wilaya moja tu, Kati ya wilaya zote 7, Yaani siku zote uki-search na ukitafuta data population ya Arusha city sehemu yeyote ile utaletewa jumla ya idadi ya watu hao laki 519,000 ambayo ni ya wilaya moja tu ya ARUSHA DC, lakin idadi nyingine ya watu ya hizo wilaya 7 zingine za Arusha city huwa zinaachwa pembeni hazijumlishiwi na hizo idadi za ARUSHA DC ambazo ni laki 519,000 ili kuleta idadi kamili ya metro area population ya Arusha city km inavyofanywa kwa majiji mengine km Mwanza ,au Dar Sasa huwa najuiliza Kwanini ni Arusha city pekee yake metro area population yake huwa inachukuliwa ya wilaya moja tu ya Arusha DC na kuachwa wilaya zengine 6, lakini ukiangalia City Kama Zanzibar, Dar, Mwanza na majiji mengine Metro area population yake haichukuliwi ya wilaya moja tu zinachukuliwa idadi za watu kutoka wilaya zote ili kuleta jumla kamili ya metro area population ya Mwanza, Dar na Zanzibar city na majiji mengine lakini kwa ARUSHA ni tofauti Ndio maana naona wazi ARUSHA CITY inahujumiwa Sana tu na SERIKALI na pia watu wenye wivu na ARUSHA CITY ili tu kusudi isiwe na maendeleo isipate wawekezaji lakini mbinu zote izo za hujuma za kuihujumu ARUSHA hazitafanikiwa Sababu ARUSHA resources zake za ku attract wawekezaji wa KITALII zinaonekana kwa macho bahati nzuri hao watu wenye nia ya kuihujumu ARUSHA CITY watashindwa kuzificha Wealth resources ambazo zinaonekana kwa macho na zitafanya wawekezaji waje ARUSHA kuwekeza kwenye sekta ya UTALIII na nyinginezo watake wasitake pamoja na kwamba wanafanya hujuma kila kukicha kuihujumu ARUSHA CITY kimaksudi na kuipaisha MWANZA

NA SASA HIVI WAMEANZA KUIPASHA ZANZIBAR KWA TAKWIMU za uwongo ili ety Zanzibar population ionekane ina population kubwa kuliko ARUSHA CITY, icho Ni kitu ambacho HAKIWEZEKANIKI hata kwa dawa Zanzibar ikawa na population kubwa kuliko ARUSHA CITY ispokuwa kwa watu ambao wanafkiria bila kutafakari wataliamini hili ,yaani kusema eti kwa sasa ZANZIBAR NDIO CITY Ipo mbele ya ARUSHA CITY kwa wingi wa watu huo Ni UONGO mkubwa Kama ambavyo mtu atasema kwa sasa Geita Ndio mkoa wenye idadi kubwa ya watu kuliko DAR ES SALAAM, Lakini kwa Mimi nahisi malengo ya hujuma hii kwa ARUSHA CITY Ni ya kupangwa hayajaanza leo kitambo Sana kutokana na uchunguzi niliofanya yakinifu Ni kama nilivyo elezea Apo juu ingawa ningependa pia kusikiza maoni yenu Kwanini ARUSHA CITY inahujumiwa tukianza na issue ya TAKWIMU za uwongo za metro area population hii inatokea kwa ARUSHA CITY pekee ake huwezi kukuta mkoa au City nyingine imewekwa metro area population total ya hujuma/uwongo Kama nilivyo hainisha Apo juu ,ila wadau naombeni tulenge mada tusiende opposite Mimi Ni mtanzania halisi baba yañgu Mtanzania mama mkenya Nawasilisha.

View attachment 2412647
Arusha mji uliojengwa bila mpangilio. Vurugu tupu.
 
T
Ipo wazi ARUSHA Ni very potential kwa kila kitu Hilo halina upinzani kabisa hapa tz

Tanzania nzima ni potential mkuu, basi tu hakuna mipango na usimamizi wa kimkakati kuendeleza taifa.

Bado siku 9 kombe la dunia mpira wa miguu litafanyika Qatar.

Ukiangalia nchi ya Qatar ni ndogo sana, Tanzania imeizidi mara 82.

Uchumi wao mkubwa ni mafuta, gesi na utalii, ila pesa wnayotengeneza na matumizi inasimamiwa vizuri

Tanzania tukijipanga tungeweza kufika na kuzidi. Kama ni gesi tunayo ya kutosha na rasilimali watu tuko milioni 61 ukilinganisha na milioni 2 ya Qatar

ila kwa sasa tumeshachelewa

kila mtu anajichukulia anachoona kama shamba la bibi

Kwa habari zaidi: Economy of Qatar - Wikipedia
souq-waqif-1970s.jpg

qatar miaka ya 70


DOH.jpg.1533897649361.image.750.563.low.jpg


qatar ya sasa
 
Back
Top Bottom