Accumen Mo
JF-Expert Member
- May 15, 2022
- 18,036
- 39,882
Angalia umaskini mkubwa uko longido Tanzania nzima ...kuwa muelewa unadanganywa na hoteli hujawai hata kununua maji 😂😂😂Wewe ni mjinga mmoja.
Wakazi wa arusha hawana shida na Watanzania wa kawaida ambao wengi ni masikini.
Hoja hapa ni serikali kupuuza mkoa wa Arusha.
Umeelewa dada?
Maskini wa kutupa watu wasiokuwa wanajua hata rais wa Tanzania tindiga/ hadzabe wanaishi huko