Weka hapa methodology ya utafiti wako uliokuja na hiyo 98%. Lazima tuende kisomi.... wengi hawajui Kingereza, na hao wachache wanaojitahidi au tumasema wanakijua asilimia kubwa zaidi ya 98 ukiwasikiliza wanaongea Broken English...
Not at allOk..
Vp wewe unakiongea fluently
Ova
Mshangae mtu akishindwa lugha yake lakini hizi za kujifunza ukubwani. Kuchapia kupo maana siyo lugha yako lakini bwana yule alizidi alafu "eti" alikuwa na PhD.Kuna shida Gani, Sasa hivi suala la kuongea Kingereza limezidi kuwa kubwa kadiri siku zinavyozidi kusogea, Sasa hivi yani watanzania wengi Wana elimu ya form four au six , Ila wengi hawajui Kingereza, na hao wachache wanaojitahidi au tumasema wanakijua asilimia kubwa zaidi ya 98 ukiwasikiliza wanaongea Broken English japo anaeleweka lakini broken c sana mfano waziri wa elimu Prof. ndalichako, hata lisu ana kizungu kizuri lakini anachapia akiongea muda mrefu, mama Samia anaupiga mwingi kwasababu anasoma, katika kusoma ni rahisi kuliko free style.
Wakenya wanafanyaje, na hizi aibu zetu tunaziweka wapi, sababu hata Mwalimu wa lugha Dr.Lwaitama anachapia Kingereza. Wanaosoma shule za English Medium ni wachache mno 0.0x , wengi ni mashule ya serikali ambapo hata walimu hawajui Kingereza, SoMo la English linafundishwa kwa kiswahili , yaani wanafundishwa Cha kujibia mtihani.
Ukienda You tube , Mtanzania akaongea Kingereza atapata comments mbaya sana, Kuna wakati Hadi wanasema lisu anawahUtubia mabeberu c watanzania.
Angalau Mkapa alikuwa anakipiga chenyewe
Kuna shida Gani, Sasa hivi suala la kuongea Kingereza limezidi kuwa kubwa kadiri siku zinavyozidi kusogea, Sasa hivi yani watanzania wengi Wana elimu ya form four au six , Ila wengi hawajui Kingereza, na hao wachache wanaojitahidi au tumasema wanakijua asilimia kubwa zaidi ya 98 ukiwasikiliza wanaongea Broken English japo anaeleweka lakini broken c sana mfano waziri wa elimu Prof. ndalichako, hata lisu ana kizungu kizuri lakini anachapia akiongea muda mrefu, mama Samia anaupiga mwingi kwasababu anasoma, katika kusoma ni rahisi kuliko free style.
Wakenya wanafanyaje, na hizi aibu zetu tunaziweka wapi, sababu hata Mwalimu wa lugha Dr.Lwaitama anachapia Kingereza. Wanaosoma shule za English Medium ni wachache mno 0.0x , wengi ni mashule ya serikali ambapo hata walimu hawajui Kingereza, SoMo la English linafundishwa kwa kiswahili , yaani wanafundishwa Cha kujibia mtihani.
Ukienda You tube , Mtanzania akaongea Kingereza atapata comments mbaya sana, Kuna wakati Hadi wanasema lisu anawahUtubia mabeberu c watanzania.
Angalau Mkapa alikuwa anakipiga chenyewe
Mwalimu mwenyewe anayefundisha kafeli aidha darasa la saba au Kidato cha nne point hafifu ila kaenda chuo cha ualimu nako anafundishwa kiswahili machache kiingereza.^breakthrough^ ni mpasuko pitilivu 🙂 Just kidding. ^mwelekeo mpya^ au ^ufanisi^
But, great comment!
Hii haiitaji methodology, inafahamika waziWeka hapa methodology ya utafiti wako uliokuja na hiyo 98%
Nikute nimelewa sasaKama mimi huku,nikiwa namsikiliza mtu akinisemesha namwelewa vizuri sana na kichwani nakuwa najua kabisa namna ya kumjibu ila sasa nikianza kufungua mdomo yote sijui ni yanakimbia au nisemeje maana hiyo broken yake ni ya kiwango cha lami,ila at least tunakielewa vibaya kama kinazungumzwa halafu hujui kinachosemwa.
Inavunja sana moyo but siyo lugha yetu so hatuna cha kupoteza (kujifariji tu)
Upo sahihi kabisa mkuu
Nyerere alifanya kosa kubwa kuamua lugha ya kiswahili iwe ndio lugha ya kufundishia mitaala yetu
Kiingereza mtoto anaanza kujifunza kama somo na lugha ya kusomea anapoingia kidato cha kwanza ambapo kimsingi umri wa kujifunza lugha unakua umepita.
Mtoto wa form I anajifunza kiingereza kama foreign language ambapo hawezi ku acquire skills za native speaker
Nyerere aliamue afundishe kiswahili as unifying factor hiyo ilikua ni hofu isiyo na sababu maana kwa uhalisia sio kama Watanzania wanaoongea kiswahili wangekisahau kwasababu tu eti kiingereza kinatumika katika taasisi za elimu kama lugha ya kufundishia
Matokeo yake hakuna lugha yoyote kati ya kiswahili na kiingereza ambayo inaeleweka kwa ufasaha na wanafunzi wetu.
Wito wangu ni kwamba bado hatujachelewa. Mitaala ya masomo yote( ukiondoa Kiswahili chenyewe) iwe kwa lugha ya kiingereza kuanzia shule za awali hadi elimu ya juu. Hakuna atakaye kisahau kiswahili
Inafahamikaje bila utafiti? Leta cheti baba, maneno mengi ya nini?Hii haiitaji methodology, inafahamika wazi
Mwalimu wangu aliwahi kuniambia km ktk maisha yako hujawahi kuota ndiyo Kwa kiingereza basi tambua wewe bado sn kwenye hiyo lugha
Siku ukishaota Kwa kiingereza Tyr ushatoboa mkuu
Kiukweli tatizo kubwa kwangu naloliona ni lugha ya kufundishia.Naona wewe umeona lugha tu. But mfumo wote wa elimu, to say the least, ni BOGUS. We lack visionary leaders. Huwezi kuzungumzia maendeleo kokote, bila kuweka kipaumbele katika elimu. Never!
JKN alizungumza na kuandika mengi sana kuhusu elimu. Na juhudi zake za kuinua elimu zilikuwa kubwa zaidi kuliko za viongozi wote waliomfuata kwa pamoja.
^Aliyepata fanaka ya kupata elimu ajue anawiwa na mamilioni ya Watanzania ambao hawajui hata kusoma na kuandika. Tukishirikiana, anayejua kusoma na kuandika akamfundisha asiyejua, taifa hili litapiga hatua ya maendeleo haraka, na bila shaka tutashindana na Dola ya Ulaya na Amerika^ ~ JKN.
Au kufikiri kwa kiingereza. Asante South Sudan japo nilipata mateso huko.Mkuu nazeeka sasa lini tena nitaota hayo?
Siku hizi nikiota zaidi ya kuota nafukuzwa na majinamizi basi hakuna kingine.
Zimbabwe na South Africa English ni lugha ya pili kwa waliowengi.Usimlaumu sana Nyerere. Humtendei haki. Alifanya sehemu yake sana tu. Nchi kama Zimbabwe na SA, kwa mfano, lugha mama ni lazima hadi vyuo vikuu, but angalia ngeli yao kwa sehemu kubwa ^imenyooka,^ tofauti ya Bongo ^imenyonyoka.^
Mleta mada kwenye kiswahili ndiyo kuna makosa makubwa mno yanafanywa na wazungumzaji kuliko hata kwenye kiingereza. Lkn kwa kuwa watanzania hawakijali kiswahili na wanakinyenyekea sana kingereza ndiyo maana hawoni.
Mfano; Nimemkuta hayupo, n.k
Hii sentensi ina makosa makubwa mno. Kama ingesemwa kwa kingereza mzungumzaji angetangazwa na TBC kuwa amezungumza broken. Lkn kwa kuwa ni kiswahili ambacho hakuna anayekinyenyekea husikii watu wakipoga kelele.
Mleta mada ni miongoni mwa watu wanaokinyenyekea zaidi kingereza. Hii inashangaza sana. Na tabia hii ipo nchi zilizoathiriwa na tabia ya kuabudu vya wakoloni.
Ndiyo maana ukienda Uingereza huwezi kusikia waingerza wakizodoana kwa kushindwa kuongea kijerumani, kihispania, kifaransa, kiitaliwno l, kochina,.n.k
Personally, naona tatizo liko kwenye mfumo wa elimu na ufundishaji. Kama huamini nachosema, pls tembelea shule yoyote ya serikali, msingi au hata sekondari, then fanya hata ^utafiti mboga,^ utaelewa nachosema.Kiukweli tatizo kubwa kwangu naloliona ni lugha ya kufundishia.
Nikilinganisha na mataifa ninayoyafahamu bado naona wanapotushindia ni lugha ya kufundishia.