Sesten Zakazaka
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 10,559
- 19,101
Sikatai Nyerere alifanya makubwa. Lakini pia haiondoi ukweli kwamba kuna maamuzi yake mengine yameleta athari hasi tena za muda mrefu katika baadhi ya mifumo yetu kama nchi ikiwemo kwenye sekta ya elimu kama kuondoa kiingereza kama lugha ya kufundishia na sera ya elimu ya UPEUsimlaumu sana Nyerere. Humtendei haki. Alifanya sehemu yake sana tu. Nchi kama Zimbabwe na SA, kwa mfano, lugha mama ni lazima hadi vyuo vikuu, but angalia ngeli yao kwa sehemu kubwa ^imenyooka,^ tofauti ya Bongo ^imenyonyoka.^
Sayansi ya lugha inasema mtoto wa miaka 0-12 ndio anaweza aka acquire(sio akajifunza) skills za native speaker wa lugha husika na akawa kama aliyezaliwa nayo
Juu ya hapo mtoto anajifunza lugha mpya kama foreign language na kuna uwezekano akashindwa kui master 100%. Ndio maana unaona tunakua na ma professor ambao wakiongea kiingereza wanashindwa kabisa kujieleza na hoja zao unaona kama za kwenye debate ya watoto wa form one!
Hayo ni matokeo ya kuiondoa lugha ya kiingereza kua lugha ya kufundishia kuanzia elimu ya awali, sera ambayo iliasisiwa na Nyerere na bahati mbaya ikarithiwa na awanu zote zilizofuata
Hizo nchi unazosema wanatumia kiingereza kqma lugha ya kufundishia lakini wana sera ya ku preserve native and local languages zao ili zisifutike. Kiswahili hakiwezi kufutika hata kama ingekua hakitumiki kufundishia