Kwanini asilimia 98 ya watanzania wanaojua Kingereza wanaongea Broken!! Tumerogwa au

Lugha ya wa2 iyo mzehe. Cc tuendelee na kiswahili che2 japo still kinatupiga chenga.
 
Naona at least kuwa na basic knowledge na lugha hii ya kiingereza kwa sababu si lugha mama yetu..

Akitokea mjerumani amekipiga broken hata hachekwi.. na unakuta yupo na mkalimani wake bila wasiwasi na si kwamba hajui kiingereza bali anajivunia lugha yake..

Watanzania tunajua wenyewe tulipoweka akili zetu..
 
English sio tatizo na wala halijawahi kuwa tatizo.
Tanzania tuna matatizo ya kutokuwa na maarifa hasa ya teknolojia,sayansi na hisabati.
Huwezi ongea kingerwza fasaha kama unajifunza darasani tu.
Hata hao english medium akimaluza shhle analuja mtaani tunaongea nae kiswahili muda wote mwishowe anasahau lugga yenyewe
Chochote usichokitumia hupotea katika kumbu kumbu.
 
Unakomaa na kingereza ksha unakuwa polisi au bwana shamba au bank manager.
Unaowasiluana nao koka siku wengine hata kiswahili hawajui vizuri.
Hivi mnanga'ngania kingereza cha nini? Mkakitumie wapi?
Pigania maarifa usipiganie kingereza bacho hata mtu asie na maarifa anakiongea.
 
Mchonga na Ben &kambona walikuwa vizuri

Ova
 
Kiswahili tunaongea broken sasa lugha ya watu unashangaa nini.
 
Let us congratulate our fellow heros who used to die in the lake
 
Ukisikia mtu anagombana na mzungu kwa mda wa saa moja kwa kiingereza, japo hutasikia neno la kiswahili ila maneno ya kurudiarudia ni mengi. "In actual facts" as you know, . Tujitahidi kupeleka watoto wetu shule maalumu kwa kiingereza.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wachina wenyewe hawajui kingereza mbona maisha yanasonga kama kawaida.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ukisikia mtu anagombana na mzungu kwa mda wa saa moja kwa kiingereza, japo hutasikia neno la kiswahili ila maneno ya kurudiarudia ni mengi. "In actual facts" as you know, . Tujitahidi kupeleka watoto wetu shule maalumu kwa kiingereza.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…