kimbomba25
JF-Expert Member
- Jan 27, 2017
- 1,160
- 2,117
Hii kauli inatoka kwa single mother...NB:Kuolewa & kuzaa sio mafanikio
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii kauli inatoka kwa single mother...NB:Kuolewa & kuzaa sio mafanikio
Tofautisha strong na arrogant women!Wanaume huwa hatujiamini kuwa na strong women
Hilo pepo lipo Ccm tu!Hivi kwanini asilimia kubwa ya viongozi wanawake wakubwa Serikalini na taasisi zake wengi hawana waume. Swali ni je wanaowapa vyeo wanapenda zaidi Wanawake wasioolewa au? Huu ni ubaguzi wa wazi.
Wanawake unakuta hata viongozi wa vyama vya siasa ni hivyo hivyo wa juu kama ni wanawake wengi utakuta hawana waume wa ndoa.
Bungeni pia hivyo hivyo wengi hawana waume wa ndoa.
Wanawaficha😅Hivi kwanini asilimia kubwa ya viongozi wanawake wakubwa Serikalini na taasisi zake wengi hawana waume. Swali ni je wanaowapa vyeo wanapenda zaidi Wanawake wasioolewa au? Huu ni ubaguzi wa wazi.
Wanawake unakuta hata viongozi wa vyama vya siasa ni hivyo hivyo wa juu kama ni wanawake wengi utakuta hawana waume wa ndoa.
Bungeni pia hivyo hivyo wengi hawana waume wa ndoa.
Observation yako ni sahihi kabisa.Mimi nilikuwa na mmoja,ikabidi nibwage manyanga.Hivi kwanini asilimia kubwa ya viongozi wanawake wakubwa Serikalini na taasisi zake wengi hawana waume. Swali ni je wanaowapa vyeo wanapenda zaidi Wanawake wasioolewa au? Huu ni ubaguzi wa wazi.
Wanawake unakuta hata viongozi wa vyama vya siasa ni hivyo hivyo wa juu kama ni wanawake wengi utakuta hawana waume wa ndoa.
Bungeni pia hivyo hivyo wengi hawana waume wa ndoa.
Kutumia logic kwenye ndoa ni upuuzi. Hao wanaotumia logic ni wapuuzi ndiyo maana wameshindikana.Kummanage mwanamke mwenye akili anaetumia logic uwe na akili mara 2 yake vinginevyo wanaume wengi ni vilaza hawawezi
Imekuuma... 😁Aliyeandika anaongozwa na mihemko bila kufanya utafiti huna haki yakuongea. Nonesense
DoneTofautisha strong na arrogant women!
Wanaume tunahitaji wanawake strong katika uanamke wao, na siyo viburi na ujuaji.
AiseeeMwee wazuri wanataka hela sie wenyewe maisha magumu tunaishia kupiga nyeto tuu
'Touch wood'... Unamaanisha kukamatia mbao za jeneza ama nini, maani vijana mna tumisemo, sana siku hizi nyie!hahahaha wewe nipo nadunda nashukuru mungu. wala msijali mie nipo hapa duniani for another 17 years, touch wood😉
Hoping all goes well'Touch wood'... Unamaanisha kukamatia mbao za jeneza ama nini, maani vijana mna tumisemo, sana siku hizi nyie!
Bado hujatoa suluhisho...hao nao wanataka ndalama kitu ambacho mpaka sasa kinanipiga chengaAiseee
Kazae na mbulu,singida hao kawaida tu na unapata watt wazuri
Hatuna strong woman lakini bado wanaume tunakufa mapema,vipi tukiwa nao sasa ndani ya nyumbaHao wengi wako wapi?
Una uhakika gani Kama hawana waume?
Tuache wivu kwenye mbususu jameni. Kuchapiwa ni kitu ya kawaida jameni.Utao mke ambaye kila siku Yuko kwenye safari na vikao na wanaume hadi usiku wa manane? Yaani utapigiwa hadi uchanganyikiwe.
Anna Makalala HANA MUME?Msamatavangu Hana Mume? Jenista Muhagama Hana Mume?
Hao hawataki hela nyingi banaBado hujatoa suluhisho...hao nao wanataka ndalama kitu ambacho mpaka sasa kinanipiga chenga