Kwanini asilimia kubwa ya viongozi wanawake wakubwa Serikalini na taasisi zake wengi hawana waume?

Hivi kwanini asilimia kubwa ya viongozi wanawake wakubwa Serikalini na taasisi zake wengi hawana waume. Swali ni je wanaowapa vyeo wanapenda zaidi Wanawake wasioolewa au? Huu ni ubaguzi wa wazi.

Wanawake unakuta hata viongozi wa vyama vya siasa ni hivyo hivyo wa juu kama ni wanawake wengi utakuta hawana waume wa ndoa.

Bungeni pia hivyo hivyo wengi hawana waume wa ndoa.
WEwe utakubali mke wako awe mwanasiasa? Tuanzie hapo, wewe kama hao wanasiasa wanaume tu wengi wao wanaishi kwa kulamba miguu na kusifia ovyo sasa utakubali mke wako awe hivyo?
Mimi sikubali maana inakuwa kama unewaolea watu sio tena mke wako
 
Hivi kwanini asilimia kubwa ya viongozi wanawake wakubwa Serikalini na taasisi zake wengi hawana waume. Swali ni je wanaowapa vyeo wanapenda zaidi Wanawake wasioolewa au? Huu ni ubaguzi wa wazi.

Wanawake unakuta hata viongozi wa vyama vya siasa ni hivyo hivyo wa juu kama ni wanawake wengi utakuta hawana waume wa ndoa.

Bungeni pia hivyo hivyo wengi hawana waume wa ndoa.
Ukweli ni kwamba wengi wao uwa ni chakula ya viongozi serikalini
 
Hivi kwanini asilimia kubwa ya viongozi wanawake wakubwa Serikalini na taasisi zake wengi hawana waume. Swali ni je wanaowapa vyeo wanapenda zaidi Wanawake wasioolewa au? Huu ni ubaguzi wa wazi.

Wanawake unakuta hata viongozi wa vyama vya siasa ni hivyo hivyo wa juu kama ni wanawake wengi utakuta hawana waume wa ndoa.

Bungeni pia hivyo hivyo wengi hawana waume wa ndoa.
Ni vyakula vya wenyewe wakati wa semina mikoani
 
Wanataka uhuru wa kufanya wanachotaka maana wao ndio wanapelekesha watu makazini
Ila hawataki mwanaume ampelekeshe
Amesoma mda wote ila wanakula sana dogo dogo hawakai bila mwanaume wa kubadili badili
Hii ni kweli hawachelewi kukutuma mwanaume sokoni anadhani wewe ni mhudumu wake ofisini
 
Sio viongozi wakubwa tu Bali ukishaingia kwenye siasa kama ulikuwa na mume basi ndoa inaweza kufa na kama ulikuwa hujaolewa ndio basi tena sababu kuu ni kwamba ili upate uongozi au cheo/ nafasi kubwa kwa wanawake wengi lazima wakutindue kwanza na kwakuwa vyeo viko vingi kwahiyo utandinduliwa mara nyingi kadri iwezekanavyo sasa ni mwanaume Gani ataweza Kukaa na mwanamke wa hivyo kama mke?
 
Sijasema wote nimesema walio wengi.
Wengine ok wana ndoa ila ndoa zao huwezi ona hata siku moja wamepiga picha hata na hao waume zao wamebakiza tu majina ya kuitwa Mrs.
Pesa zinawapa ujeuri. Ukitaka kuishi na mke vizuri Kwa walio wengi mzidi Elimu, cheo au kipato zaidi sana kipato. Kanuni
 
Sio viongozi wakubwa tu Bali ukishaingia kwenye siasa kama ulikuwa na mume basi ndoa inaweza kufa na kama ulikuwa hujaolewa ndio basi tena sababu kuu ni kwamba ili upate uongozi au cheo/ nafasi kubwa kwa wanawake wengi lazima wakutindue kwanza na kwakuwa vyeo viko vingi kwahiyo utandinduliwa mara nyingi kadri iwezekanavyo sasa ni mwanaume Gani ataweza Kukaa na mwanamke wa hivyo kama mke?
Dah!....mkuu mbona umefanya 'Too much generalization' ?....
 
Senkyuu vere macheee nae vipi.na yule Minista wa Chafya aah Afya nae vip
 
Back
Top Bottom