Yaani hawa wanawake viongozi/wanasiasa wa Tanzania ndio "strong women"!!!???
Basi Tanzania kuna maana tofauti ya "strong woman"..
Kitu kimoja nilicho na uhakika nacho na ambacho nimekishuhudia ni kwa viongozi/wanasiasa wanawake wengi kuwa na "kujimwambafai" kiasi cha kuwapanda waume zao kichwani.
Kitu kingine ni kwamba hao wake/dada/mama/shangazi/binti zetu ni "visusio" vya viongozi wa kiume.
Jambo lingine linalochangia kutokuonekana kwa mahusiano mema ya hawa viongozi -ke, ni ukilaza wa wengi wao,hivyo kupelekea kwa mwanaume aliye vyema kichwani kutokuwa "proud" na kuwa na mahusiano na kilaza.