WEwe utakubali mke wako awe mwanasiasa? Tuanzie hapo, wewe kama hao wanasiasa wanaume tu wengi wao wanaishi kwa kulamba miguu na kusifia ovyo sasa utakubali mke wako awe hivyo?Hivi kwanini asilimia kubwa ya viongozi wanawake wakubwa Serikalini na taasisi zake wengi hawana waume. Swali ni je wanaowapa vyeo wanapenda zaidi Wanawake wasioolewa au? Huu ni ubaguzi wa wazi.
Wanawake unakuta hata viongozi wa vyama vya siasa ni hivyo hivyo wa juu kama ni wanawake wengi utakuta hawana waume wa ndoa.
Bungeni pia hivyo hivyo wengi hawana waume wa ndoa.
Mimi sikubali maana inakuwa kama unewaolea watu sio tena mke wako