WEwe utakubali mke wako awe mwanasiasa? Tuanzie hapo, wewe kama hao wanasiasa wanaume tu wengi wao wanaishi kwa kulamba miguu na kusifia ovyo sasa utakubali mke wako awe hivyo?Hivi kwanini asilimia kubwa ya viongozi wanawake wakubwa Serikalini na taasisi zake wengi hawana waume. Swali ni je wanaowapa vyeo wanapenda zaidi Wanawake wasioolewa au? Huu ni ubaguzi wa wazi.
Wanawake unakuta hata viongozi wa vyama vya siasa ni hivyo hivyo wa juu kama ni wanawake wengi utakuta hawana waume wa ndoa.
Bungeni pia hivyo hivyo wengi hawana waume wa ndoa.
Ogopa sana mwanamke yoyote anayesema sihitaji hela nyingi...huyo ni muwongo kabisaaa na hafai ata kuwa mchepsHao hawataki hela nyingi bana
Unamaanisha Anna MakindaAnna Makalala HANA MUME?
#YNWA
Ukweli ni kwamba wengi wao uwa ni chakula ya viongozi serikaliniHivi kwanini asilimia kubwa ya viongozi wanawake wakubwa Serikalini na taasisi zake wengi hawana waume. Swali ni je wanaowapa vyeo wanapenda zaidi Wanawake wasioolewa au? Huu ni ubaguzi wa wazi.
Wanawake unakuta hata viongozi wa vyama vya siasa ni hivyo hivyo wa juu kama ni wanawake wengi utakuta hawana waume wa ndoa.
Bungeni pia hivyo hivyo wengi hawana waume wa ndoa.
Ni vyakula vya wenyewe wakati wa semina mikoaniHivi kwanini asilimia kubwa ya viongozi wanawake wakubwa Serikalini na taasisi zake wengi hawana waume. Swali ni je wanaowapa vyeo wanapenda zaidi Wanawake wasioolewa au? Huu ni ubaguzi wa wazi.
Wanawake unakuta hata viongozi wa vyama vya siasa ni hivyo hivyo wa juu kama ni wanawake wengi utakuta hawana waume wa ndoa.
Bungeni pia hivyo hivyo wengi hawana waume wa ndoa.
Hii ni kweli hawachelewi kukutuma mwanaume sokoni anadhani wewe ni mhudumu wake ofisiniWanataka uhuru wa kufanya wanachotaka maana wao ndio wanapelekesha watu makazini
Ila hawataki mwanaume ampelekeshe
Amesoma mda wote ila wanakula sana dogo dogo hawakai bila mwanaume wa kubadili badili
Ndio nani?Namaanisha Uhamiaji
#YNWA
Huyu yupo gridi ya taifaJenista anawamaliza kulinda ubunge .....ukigusa anakutoa kafara
Pesa zinawapa ujeuri. Ukitaka kuishi na mke vizuri Kwa walio wengi mzidi Elimu, cheo au kipato zaidi sana kipato. KanuniSijasema wote nimesema walio wengi.
Wengine ok wana ndoa ila ndoa zao huwezi ona hata siku moja wamepiga picha hata na hao waume zao wamebakiza tu majina ya kuitwa Mrs.
Dah!....mkuu mbona umefanya 'Too much generalization' ?....Sio viongozi wakubwa tu Bali ukishaingia kwenye siasa kama ulikuwa na mume basi ndoa inaweza kufa na kama ulikuwa hujaolewa ndio basi tena sababu kuu ni kwamba ili upate uongozi au cheo/ nafasi kubwa kwa wanawake wengi lazima wakutindue kwanza na kwakuwa vyeo viko vingi kwahiyo utandinduliwa mara nyingi kadri iwezekanavyo sasa ni mwanaume Gani ataweza Kukaa na mwanamke wa hivyo kama mke?
Kwamba wameshawarestisha in peace doh! Hatari sana
Wanaume hua tunakufa mapema... Sababu ya heka heka zenu...Kwamba wameshawarestisha in peace doh! Hatari sana
Bosi wa UhamiajiNdio nani?