Kwanini asilimia kubwa ya watumishi wa kike katika ofisi za umma wana kibri, dharau na majibu ya nyodo?

Wakiwemo wanaofanya kazi kwenye mabenki
Aisee....
Nikiwa na shida na miamala kama kulipa ada, n.k...bora nimalizie kwenye simu tu
 
Mimi napinga hata kuwapa wanawake ujumbe wa nyumba kumi ...ni ujinga mtaani kunakuwa na majungu mengi kutokana na wanawake kuwa wajumbe na viongozi wa serikali za mitaa
 
Ukitaka kuhakikisha zaidi asemacho mtoa mada tembelea masjara ya mkuu wa wilaya Nyamagana- Mwanza,, pale kuna lundo la maneno machafu na ukali usio sababu yupo mama mmja mbaya mkologo umedunda alafu nahisi ana ukimwi yule maninaa zake.
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wengi huwa wanaona mtu anaekuja kufata huduma kwa muda huo anashida saaaana yani utake usitake utahudumiwa na yeye tu hutaki sepaa! na kujiona wamefika halafu pia wengine wanakuaga wanavimba sababu wanal!wa na maboss, wakurungenzi, mameneja zao.
 
Kuna siku nilikuwa kituo Cha afya wanawake walikuwa wengi wakisubiri kuingia kwa daktari mwanaume huku upande mwingine wa bench ukiwa na wagonjwa wachache kuelekea kwa daktari mwanamke muhudumu wa pale aliuliza kwanini mnajazana upande mmoja!?hamieni huku Lakini hakuna aliyejigusa bahati nzuri zamu ya yule daktari wa kike ulikuwa umeisha akampokea badala yake daktari wa kiume pale pale mabench yakawa na uwiano sawia
 
Tena sana ,kuna ofisi moja nilivaa kilemba kichwani nilimkuta mwanamke alishambulia mpaka kivazi nilichovaa kichwani tena kwa ukali ilinisikitisha sana.
Ni changamoto sana. Pole sana ndugu yangu. Hili tatizo si la kukaliwa kimya.
 
Ndivyo walivyo. Wanapenda kunyenyekewa, hata kama (Mwanamke) kaishia kidato Cha nne na wewe Elimu yako ni ya Chuo kikuu lakini bado mwanamke atjiona Yuko juu ilimradi tu ajione Yuko katika ofisi nzuri (mfano, masijara).
 
Ukimtomgoza akatae ndo weee [emoji849] Kuna dada nilitongoza ofisini hakika najuta mpaka sasa,ofisi imekuwa chungu Kwa vijembe[emoji26]
We ni me au ke unaniacha njia panda

Siku zote najua wewe ni ke
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…