Mufti kuku The Infinity
JF-Expert Member
- Sep 21, 2019
- 6,053
- 10,032
Wakiwemo wanaofanya kazi kwenye mabenkiMoja kwa moja
Kwa utafiti wangu mfupi usio rasmi niliofanya mimi binafsi kupitia stori na watu mbalimbali, vijiweni, mitandaoni nk. nimegundua mara watu wengi wakilalama kuwa wanapata wakati mgumu mara nyingi wakihudumiwa na watumishi kibao ikiwemo Rita .Sasa sijui wanawake wanakua na matatizo gani kupelekea hali hiyo mpaka wakati mwingine mtu unajiuliza kama ulishawahi kumkwaza siku fulani au la ..
Aisee....
Nikiwa na shida na miamala kama kulipa ada, n.k...bora nimalizie kwenye simu tu