Kwanini asilimia kubwa ya watumishi wa kike katika ofisi za umma wana kibri, dharau na majibu ya nyodo?

Wanawake wengi ni vyakula vya mabosi hivyo hujawa na kiburi na majivuno kuwa hakuna wa kumfanya chochote.
 
Mi haikuwa ofisini hata, I mean sio ofisi za serikali ni hawa makondakta kwenye ofisi za mabasi ya wilayani.

Alikuwa wa kike na mimi nimekuta mzigo wangu umeondoka na basi kimakosa lakini huyu dada hakutaka kabisa kufuatilia ananiambia eti 'tafuta namba za dreva au konda aliyeondoka umpigie' kumuomba yeye hata namba ye hana!!! nitafute?

Nikashangaa kupewa kazi ya ofisi yake mimi tena mteja! ni uvivu au ni nini hiki?

Ilibidi nitafute mwenyewe, nitafute na sababu ya kuuelewa na kuusamehe huo uvivu wake na niliipata kubwa tu; alikuwa na mimba kubwa tu. Nikashindwa nimmaindi yeye, au bosi wake kutompa likizo[ila atampaje likizo na mshahara ni deiwaka]?, au mwanaume wake? [labda hahudumii mimba].... au maisha magumu [labda hela haitoshi hiyo ya mwanaume wake? All in all niliupata mzigo baadaye.

Vingine tuwaelewe tu wanazidiwa majukumu samtaimu kibaiolojia na kijamii tena tunawaongeza na kiuchumi lazima system izingue tu.
 
Sawa dada ila simamia jinsia yako ili uwe kiigizo chema kwa wanao
Sikumtongoza mbele ya wanangu, nilimtoaga out ya kishost halafu nikatema mistari, akashtuka then akanipromise at night ilikuwa jioni muda huo ... lakini Cha ajabu usiku simu ikawa busy nadhan aliniblock☹️,kesho yake akaanza mafumbo ofisini🙄😏
 
Aisee..
 
Kuna member avatar yake ina picha ya lijamaa lenye kipara, naona muda wote anatype, nimesoma page 1-4 anatype tu.

Mkuu unatype gazeti??
 
Watongozeni....wapeni haki yao ya msingi tu

Ova
 
Ndio muache dharau jamani, lasivyo tutawatongoza tu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Umenifaanya nicheke kwa nguvu..Hivi Ikitokea si unaanza kukemea pepo bila kutarajia?[emoji2]
Halafu dharau kwenye kazi za Watu sasa... Hapana.
 
Tatizo linaanzia kwenu mnaopewa huduma, mnaitwa sanamu hafu mnakaa kimya mlitakiwa kureact immediately.
hawaachi nyondo kwa sababu tunawachekea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…