Ulongupanjala
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 8,273
- 13,567
Wanawake wengi ni vyakula vya mabosi hivyo hujawa na kiburi na majivuno kuwa hakuna wa kumfanya chochote.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mi ni ke mkuu, siku hizi mbona fresh tu😋We n me au ke unaniacha njia panda
Siku zote najua wewe n ke
Tena yenye mpasuo mbele na nyuma maskini☹️😔Ungevaa hiyo suruali yako hapo kwenye dp ukaning'iniza funguo ya gari sidhani kama angekukataa to yeye
Tatizo ulivaa sketi ya kitenge
Sawa dada ila simamia jinsia yako ili uwe kiigizo chema kwa wanaoMi ni ke mkuu,sikuhiz mbona fresh tu[emoji39]
Sikumtongoza mbele ya wanangu, nilimtoaga out ya kishost halafu nikatema mistari, akashtuka then akanipromise at night ilikuwa jioni muda huo ... lakini Cha ajabu usiku simu ikawa busy nadhan aliniblock☹️,kesho yake akaanza mafumbo ofisini🙄😏Sawa dada ila simamia jinsia yako ili uwe kiigizo chema kwa wanao
Aiseewanawake ni wadhaifu sana kibaya zaidi wanaridhika na vitu vidogo sana
tuwahurumie tu
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Aisee..Sikumtongoza mbele ya wanangu,nilimtoaga out ya kishost afu nikatema mistari,akashtuka then akanipromise at night ilikuwa jioni muda huo ...lakini Cha ajabu usiku simu ikawa busy nadhan aliniblock☹️,kesho yake akaanza mafumbo ofisini🙄😏
🤣🤣🤣😜Aisee..
Jioni njema jirani...😁😁🤣🤣🤣😜
Umenielewa vizuri lakin mkuu?Jioni njema jirani...😁😁
Nimekuelewa kabisa..Umenielewa vizuri lakin mkuu?
Ndio hivyo ushamkosa mremboTena yenye mpasuo mbele na nyuma maskini[emoji3525][emoji17]
Ofisini kuna changamoto nyingi kweye mahusuano..Umenielewa vizuri lakin mkuu?
Pia haifai kuwa na mahusiano ofisini mkuuOfisini kuna changamoto nyingi kweye mahusuano..
Saaaaana[emoji23][emoji23][emoji1787]wameshtuka balaa[emoji12]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ndio muache dharau jamani, lasivyo tutawatongoza tu.
Tatizo linaanzia kwenu mnaopewa huduma, mnaitwa sanamu hafu mnakaa kimya mlitakiwa kureact immediately.Moja kwa moja
Kwa utafiti wangu mfupi usio rasmi niliofanya mimi binafsi kupitia stori na watu mbalimbali, vijiweni, mitandaoni nk. nimegundua mara watu wengi wakilalama kuwa wanapata wakati mgumu mara nyingi wakihudumiwa na watumishi wakike tofauti na wakiume kutokana na jinsi wanavyoreact katika kuhudumia wahitaji.
Mimi binafsi kuna nilikuwa nafuatilia kitambulisho cha uraia NIDA katika moja ya ofisi zao ikatokea kuchaguliwa watu kama wa tano kuingia chumba fulani baada ya kufika mtumishe wa kike alianza kusema kwa ukali "mmefika baada mkae kwenye benchi mnaanza kuganda kama masanamu nyinyi ni watu wa aina gani"
Haikupaswa yeye kutoa kauli kama hiyo tena kwa ukali wakati kuna watu waliokuzidi umri tena wazee bali alipaswa kutuelekeza mahali pa kukaa kwani mabenchi yalitengwa na watu wanakaa sehemu husika kutokana na shida zao .
Kwa kumalizia hali kama hii haipo sehemu moja kwani nimeshuhudia sehemu kibao ikiwemo Rita .Sasa sijui wanawake wanakua na matatizo gani kupelekea hali hiyo mpaka wakati mwingine mtu unajiuliza kama ulishawahi kumkwaza siku fulani au la ..