Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii comment yako mbona ina ukakasi sana??Ukimtomgoza akatae ndo weee 🙄 Kuna dada nilitongoza ofisini hakika najuta mpaka sasa,ofisi imekuwa chungu Kwa vijembe😥
KakaHii comment yako mbona ina ukakasi sana??
Ulimtongoza dada??
Kumbe wewe Ni dume,,sasa mbona unajifanyaga jikeUkimtomgoza akatae ndo weee 🙄 Kuna dada nilitongoza ofisini hakika najuta mpaka sasa,ofisi imekuwa chungu Kwa vijembe😥
Yaani ulijitosa kimtongoza mwamba!?Kaka
Huyu haeleweki aisee ,dume jike, sijui shoga labdaUlimtongoza mwanamke mwenzio[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787], au nimeelewa vibaya
Kuna dada mmoja meneja wa TANESCO pale mbezi,, aisee Ni mnyenyekevu haswa, Hadi nilishangaa, maana sikawaidaUkiona mwanamke anahudumia kwa nidhamu Basi ujue hiyo kazi kaipata kihalali ama la amehangaika Sana kapitia maisha magumu mpk kufikia hapo alipo, kinyume na hapo ni kansa kiukweli ofisi nyingi za umma huwa naomba nikuutane na mwanaume kero yao ni kuomba ngono tu ila kwingine wanaume wako vizuri mno,,wachache mno kukuta ana nyodo
Haha mkuu hata mimi nimegundua hiki kituInabidi kwa sisi askari tuje na magwanda sasa kwenye hizo ofisi zenu nadhani hii itapunguza
AlinitangazaYaani ulijitosa kimtongoza mwamba!?
Kwanini hukumtega tega ajae mwenyewe au hukutaka njia ndefu??
Alikupiga cha mbavu au alikubali?
Inashangaza Sanaa,kwani mwanamke hawez kumtongoza mwanaume😳🙌Kumbe wewe Ni dume,,sasa mbona unajifanyaga jike
Abarikiwe sana,Kuna dada mmoja meneja wa TANESCO pale mbezi,, aisee Ni mnyenyekevu haswa, Hadi nilishangaa, maana sikawaida
🤣😜Huyu haeleweki aisee ,dume jike, sijui shoga labda
mkuu twende kesho tukamletee noma[emoji23]hujakosea mkuu...
wanaviburi kupindukia..
kuna mmoja juzi alinijibu nyodo pale ofisi za ustawi wa jamii karibu na hsp ya levolosi arsh...nilitamani nimtemee mate
ni vile sikukariri jina lake ningemuanzishia uzi
Nakujua vyema[emoji23][emoji23]Mie si unanijua, ukiniletea dharau sikuachi salama hata kama nina shida[emoji1787][emoji1787][emoji1787]