Kwanini asilimia kubwa ya watumishi wa kike katika ofisi za umma wana kibri, dharau na majibu ya nyodo?

Kwanini asilimia kubwa ya watumishi wa kike katika ofisi za umma wana kibri, dharau na majibu ya nyodo?

Mi nakuvizia lazima upigwe jiwe ili ukome
 
Ukiona mwanamke anahudumia kwa nidhamu Basi ujue hiyo kazi kaipata kihalali ama la amehangaika Sana kapitia maisha magumu mpk kufikia hapo alipo, kinyume na hapo ni kansa kiukweli ofisi nyingi za umma huwa naomba nikuutane na mwanaume kero yao ni kuomba ngono tu ila kwingine wanaume wako vizuri mno,,wachache mno kukuta ana nyodo
Kuna dada mmoja meneja wa TANESCO pale mbezi,, aisee Ni mnyenyekevu haswa, Hadi nilishangaa, maana sikawaida
 
Inabidi kwa sisi askari tuje na magwanda sasa kwenye hizo ofisi zenu nadhani hii itapunguza
Haha mkuu hata mimi nimegundua hiki kitu

Sehemu nyingi ukiwatimbia na gwanda hasa wakiona mabega yamechafuka hamna kuzi analeta ushanta

Vinginevyo hii nchi ukiwa mnyonge utaonewa sana hata sehemu ambazo mtu unastahili kupata haki yako
 
Untouchables, kutoka na mabosi zao, kutoka na mabosi wa mabosi zao, f4 failures, konekshen e.t.c

Wajumbe waliotangulia wametoa maelezo sahihi kabisa,
Kuna mmoja kasema ikitokea ni mwanamke kwa mwanamke ndo moto unawaka haswa, labda nishindilie kwa kuogezea mifano; hayati Stone aliwahi kusema anaonyeshwa meseji za mmoja wa waziri wake (ke) akichambuana na katibu mkuu wa wizara nyingine (ke). Huyu mama ni waziri hadi leo , namuangaliaga anavyosoma hotuba za kimalkia neno kwa neno ninauhakika kabisa ukimnyang'anya ile karatasi pale unakua 'umechomoa betri'!!
Mwingine huyu aliempiga sub bosi wa katiba na sheria wa sasa, aisee ile ndo wadau wanasema untouchable!
 
hujakosea mkuu...

wanaviburi kupindukia..

kuna mmoja juzi alinijibu nyodo pale ofisi za ustawi wa jamii karibu na hsp ya levolosi arsh...nilitamani nimtemee mate

ni vile sikukariri jina lake ningemuanzishia uzi
mkuu twende kesho tukamletee noma[emoji23]
 
Kiufupi mwanamke hakutakiwa kufanya kazi wala kuwa na mamlaka ndo maana ukisoma vitabu vya dini hakuna kiongozi mwanamke mungu aliona mbali maana anawajua wanawake hawakuumbwa kifanya kazi.
 
Back
Top Bottom