Mwingereza
JF-Expert Member
- Jan 21, 2014
- 1,115
- 2,771
Ni suala la kufikirisha kidogo, na kutokana na desturi za kijeshi, lazima mwanajeshi a report kwa Command yake.
Kwanini Dennis Urio aliruka kutoka command ya Jeshi yenye Military Intelligence ambao wana mawasiliano mazuri na TISS na Polisi yeye akaenda moja kwa moja kwa DCI?
Ni kwanini mwanajeshi alifanya kazi ya upolisi wakati polisi wapo? Je, Command yake ilijua haya aliyokuwa akiyafanya?
Kwenye level ya DCI, Urio hawezi kufanya kazi na Boaz bila Gen. Mabeyo kujua
Je, alifanya haya binafsi kukichafua jeshi au kwa maslahi ya nani? Inafikirisha maana inaonesha wazi ni shahidi wa kutengeneza.