mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
Sasa Kati ya kamanda urio na nyie Nani anayetakiwa kuleta uthibitisho?
Mwenzenu amesema mbowe alikuwa anampigia simu,alimuita mikocheni akamwamb amtafutie vijana wa kazi,akamtumia na hela.
Sasa ninyi ndo mnatakiwa mlete uthibitisho kuwa kamansa urio NI MUONGO.hayo mbowe hakuyafanya.
Mbona vitu vipo wazi tu.
Mnakwama. Wapi?

Ndo utuletee uthibitisho wewe Lt Urio Homuboi. Maana unasema hata dereva tax aliyekubeba humkumbuki na hujui alilipwa kiasi gani. Hujawahi hata kurekodi chochote na mteja wako. Basi tuseme ulinogewa na ahadi ya cheo kikubwa baada ya Mbowe kuwa Rais? Maana hukuwahi kudfaidi zaidi ya chenji 4000/- ulizobaki nazo baada ya kuwapa 195000 toka 199000.