Kwanini askari wa chini JWTZ awasiliane na DCI?

Ndo shida Basi .
Kwa mujibu wa kamanda urio.
Mbowe alimuita mikocheni akamwambia nutafutie vijana wa kazi.
Akamwambia Ana lengo la kuchukua nchi kwa njia yoyote.
Anataka hao vijana wakalipue vituo vya mafuta,wakawadhuru viongozi wa serikali,wakakate miti na kufanya nchi isitawalike.
Wakaachana,siku zikapita mbowe akampigia Simu urio.mbona hao vijana hauwaleti?
Urio akamwambia vijana wameshapatikana tuma nauli.
Nini kinacho thibitisha pasipo kuacha mashaka hayo maelezo.. ya Urio? Huoni kwamba Urio ni snitch? hayo maelezo niliyasoma jana ( ila uthibitisho usio acha mashaka haupo)
 
Hilo swali tungemuuliza mbowe aliyewahitaji hao vijana.
Pia kesi unaendelea ebu fuatilia humu
Hao wanne tu ndo wafanye zoezi hilo nchi nzima?
Screenshot_20220127-104309.jpg
 
Ndo shida Basi .
Kwa mujibu wa kamanda urio.
Mbowe alimuita mikocheni akamwambia nutafutie vijana wa kazi.
Akamwambia Ana lengo la kuchukua nchi kwa njia yoyote.
Anataka hao vijana wakalipue vituo vya mafuta,wakawadhuru viongozi wa serikali,wakakate miti na kufanya nchi isitawalike.
Wakaachana,siku zikapita mbowe akampigia Simu urio.mbona hao vijana hauwaleti?
Urio akamwambia vijana wameshapatikana tuma nauli.
Kuna ushahidi wowote unaoonesha hata maandalizi tu yakufanya huo ugaidi?

Ingredients za ugaidi unazijua ili ionekane kweli palikuwa na nia ya kufanya ugaidi?

Mtuhumiwa wa ugaidi tangu 2020 anakuja kukamatwa usiku wa manane kuamkia kongomano la katiba?

Mtuhumiwa wa ugaidi anaachwa mtaani anazurura na kusafiri nje ya nchi bila bughudha yoyote?

Mkuu jitahidi kushughulisha ubongo utaona kwanini hadi wasiojua sheria kwanini wanasema hii movie serikali imeikosea kuanzia script hadi mwisho.
 
Hayo masuala ya ulinzi urio ndio kawaambia makomando kuficha mpango mzima.
Lakini baadae alipowasiana na mmoja wao akasema mpango umebadilika wanatakiwa waende Moshi kumdhuru mkuu wa mkoa wa hai.
Mbona kamanda urio kasema yote.au haujasoma ?
Nikusahihishe mkuu,Moshi hakuna mkuu wa mkoa wa Hai.
Ikiwa tu hao makomando waliandaliwa na Urio kwa kila kitu,maana yake watakuwa na vielelezo vingi vya kumtia hatiani Mbowe maana wenyewe ndio walikuwa wakikutana na Mbowe uso kwa uso. Lakini kama aliwatumia kwa siri pasipo wao (makomando) kujua lengo la Urio,basi,hii kesi itaisha kwa kuwafunga watuhimiwa kiuonevu.
 
Kile kikao Cha mikocheni ndicho kitakacho mfunga mbowe,pia mawasiliano yao

Ni suala la kufikirisha kidogo, na kutokana na desturi za kijeshi, lazima mwanajeshi a report kwa Command yake.

Kwanini Dennis Urio aliruka kutoka command ya Jeshi yenye Military Intelligence ambao wana mawasiliano mazuri na TISS na Polisi yeye akaenda moja kwa moja kwa DCI?

Ni kwanini mwanajeshi alifanya kazi ya upolisi wakati polisi wapo? Je, Command yake ilijua haya aliyokuwa akiyafanya?

Kwenye level ya DCI, Urio hawezi kufanya kazi na Boaz bila Gen. Mabeyo kujua

Je, alifanya haya binafsi kukichafua jeshi au kwa maslahi ya nani? Inafikirisha maana inaonesha wazi ni shahidi wa kutengeneza.
Tatizo la kudanganywa kwenye space ya watu wenye msongo wa mawazo kimaisha na kufundishiwa huko sheria za uongo na wanasheria waliovuta mabangi ya iliboru ambao vichwa vyao haviko sawa na wanaharakati uchwara waizi wa magari waliokimbia nchi

Hivi unfahamu powers za Police kwa mujibu wa Criminal Procedure Act kwenye criminal investigation

Je! wafahamu Poilice wana unlimited jurisdiction kwenye maswala yanayohusu criminal investigation? uliwahi kuwaona wanajeshi au TC wakipeleleza kesi na kwenda kutoa ushahidi mahakamani ? Andeleeni kudanganywa na udaku wa akina maria na fatma na hao waliokuwa wanapiga kampeni kwa nyimbo za wavutabangi ambao sasa wamekimbia nchi
 
Hata mimi amenifikirisha sana.kwa utaratibu mahali popote pa kazi lazima uripoti kwa bosi wako ili akupe approval.lakini kwa maelezo ya Urio inaonekana alipewa maelekezo na DCI halafu kwanini DCI asimpe yeye watu wake wa Polisi ili wakajifanye ndio makomando toka kwa Urio ili wafanye kazi vizuri.Pia Urio alijua kuwa Mbowe anatafuta makomando wakafanye ugaidi sasa kwanini yeye aliwapeleka wenzie wakafanye huo ugaidi na kukamatwa.Ushahidi wa hovyo kabisa.
 
Hadi mawasiliano ya telegram ni narration?[emoji1787][emoji1787][emoji1787].
Kweli nyie ni vipofu na viziwi ngoja niwaache uenda siku mtakuja kuamka
Huu ndo uthibitisho usioacha shaka? Mbona ni kama narration tu ambayo hata wewe ungesukwa ungeelezea kama Urio.
 
Hadi mawasiliano ya telegram ni narration?[emoji1787][emoji1787][emoji1787].
Kweli nyie ni vipofu na viziwi ngoja niwaache uenda siku mtakuja kuamka
Hayo mawasiliano ya telegram ameyasilisha mahakamani?
 
Kile kikao Cha mikocheni ndicho kitakacho mfunga mbowe,pia mawasiliano yao
Sina shida na kufungwa kwa Mbowe,shida yangu ni kwa hao makomando. Kama hao makomando walikuwa hawajui malengo ya Urio hauoni kwamba Urio atakuwa amesababishia matatizo vijana ambao,kwanza walikuwa kwenye magumu ya kimaisha na familia zao,walikuwa nashughuli zao za kuwaingizia kipato? Urio alikuwa na ugomvi na wanafunzi wake mpaka awaingize kwenye mpango wa ugaidi? Kama hana ugomvi nao atanufaika nini baada ya kufungwa hao vijana?
Mbowe akifungwa hao vijana wakaachiwa huru haitakuwa shida maana ndiye aliye andaa "mkeka" huo,lakini ithibishwe pasi na shaka... Isiwe ikawa kuchafuana kwa ajili ya uchaguzi ujao
 
Hao makamanda wakikiri wanaweza kusamehewa.maana urio tayari ameshasema yeye ndo aliwatafuta na aliwadanganya kuwa Kuna kazi ya ulinzi Ina tegemea na wao makomando wapo upande gani
Sina shida na kufungwa kwa Mbowe,shida yangu ni kwa hao makomando. Kama hao makomando walikuwa hawajui malengo ya Urio hauoni kwamba Urio atakuwa amesababishia matatizo vijana ambao,kwanza walikuwa kwenye magumu ya kimaisha na familia zao,walikuwa nashughuli zao za kuwaingizia kipato? Urio alikuwa na ugomvi na wanafunzi wake mpaka awaingize kwenye mpango wa ugaidi? Kama hana ugomvi nao atanufaika nini baada ya kufungwa hao vijana?
Mbowe akifungwa hao vijana wakaachiwa huru haitakuwa shida maana ndiye aliye andaa "mkeka" huo,lakini ithibishwe pasi na shaka... Isiwe ikawa kuchafuana kwa ajili ya uchaguzi ujao
 
Tatizo la kudanganywa kwenye space ya watu wenye msongo wa mawazo kimaisha na kufundishiwa huko sheria za uongo na wanasheria waliovuta mabangi ya iliboru ambao vichwa vyao haviko sawa na wanaharakati uchwara waizi wa magari waliokimbia nchi

Hivi unfahamu powers za Police kwa mujibu wa Criminal Procedure Act kwenye criminal investigation

Je! wafahamu Poilice wana unlimited jurisdiction kwenye maswala yanayohusu criminal investigation? uliwahi kuwaona wanajeshi au TC wakipeleleza kesi na kwenda kutoa ushahidi mahakamani ? Andeleeni kudanganywa na udaku wa akina maria na fatma na hao waliokuwa wanapiga kampeni kwa nyimbo za wavutabangi ambao sasa wamekimbia nchi
Issue sio mipaka ya polisi kufanya kazi.soma vizuri maelezo ya Lt Urio ndio msingi mkuu wa mtoa mada.ilikuwa ni busara yeye kuripoti hiyo issue kwa wakubwa wake then wampe go ahead au kama aliwajulisha basi tutajua baada ya kuhojiwa na upande wa utetezi.
 
Back
Top Bottom