Kwanini askari wa chini JWTZ awasiliane na DCI?

Sawaa tusubiri.
Naona watu wanaweza kuhack Hadi vikao kweli technology imepanuka.
Kwa namna technology ilivyopanuka ushahidi unaweza kutengenezwa tu kwa njia yoyote. Usiamini kila ushahidi hasa ule wa electronic siku hizo watu wame advance sana kwenye masuala ya IT.
 
Issue sio mipaka ya polisi kufanya kazi.soma vizuri maelezo ya Lt Urio ndio msingi mkuu wa mtoa mada.ilikuwa ni busara yeye kuripoti hiyo issue kwa wakubwa wake then wampe go ahead au kama aliwajulisha basi tutajua baada ya kuhojiwa na upande wa utetezi.
Kwa mahakama inaangalia relevance ya ushahidi haina muda wa kuangalia chain of communication katika administration. Hivyo Polisi hawapo bound kufuata taratibu za ki administration wanapopeleleza au kutafuta ushahidi. Siku wanapoupeleka mahakamani ndio mahakama itaamua kama ushahidi husika ni relevant katika ku prove au ku disprove jambo lililo mahakamani
 
Ni suala la kufikirisha kidogo, na kutokana na desturi za kijeshi, lazima mwanajeshi a report kwa Command yake.

Kwanini Dennis Urio aliruka kutoka command ya Jeshi yenye Military Intelligence ambao wana mawasiliano mazuri na TISS na Polisi yeye akaenda moja kwa moja kwa DCI?

Ni kwanini mwanajeshi alifanya kazi ya upolisi wakati polisi wapo? Je, Command yake ilijua haya aliyokuwa akiyafanya?

Kwenye level ya DCI, Urio hawezi kufanya kazi na Boaz bila Gen. Mabeyo kujua

Je, alifanya haya binafsi kukichafua jeshi au kwa maslahi ya nani? Inafikirisha maana inaonesha wazi ni shahidi wa kutengeneza.
Kuna tactician inaitwa u turn
 
Kuna tamthilia inaitwa u turn
 
Hacking unaijua mkuu?
Imenishangaza sana yule aliyesema ameweza kuihack telegram na kupata hizo taarifa wakati telegram waliweka dola kadhaa (zaidi ya 500 Milioni) kwa yeyote atakaeweza kuihack, Marekani na kote kuliko na hackers ulimwengu wameshindwa ije kuwa Tanzania [emoji2377][emoji2377][emoji2377]
 
telegram ina njia mbili za mawasiliano.. au zaidi, mtu akishakuwa na device yako mkononi mwake ( mchezo unafanyika ). Na ninacho hisi hatujui integrity juu ya hizo device zilipochukuliwa kama hawaku temper kwa aina yoyote na hizo vitu.. kama una ABC za computer forensic kuna kapicha kanaweza kuja japo sio 100%.. bado na mashaka ingawa sitoi hukumu na sitetei mtu.. 😀😀
 
Ni suala la kufikirisha kidogo, na kutokana na desturi za kijeshi, lazima mwanajeshi a report kwa Command yake.

Kwanini Dennis Urio aliruka kutoka command ya Jeshi yenye Military Intelligence ambao wana mawasiliano mazuri na TISS na Polisi yeye akaenda moja kwa moja kwa DCI?

Ni kwanini mwanajeshi alifanya kazi ya upolisi wakati polisi wapo? Je, Command yake ilijua haya aliyokuwa akiyafanya?

Kwenye level ya DCI, Urio hawezi kufanya kazi na Boaz bila Gen. Mabeyo kujua

Je, alifanya haya binafsi kukichafua jeshi au kwa maslahi ya nani? Inafikirisha maana inaonesha wazi ni shahidi wa kutengeneza.
Inashangaza Sana,Tanzania ina mambo ya ajabu.Ukipata kisa cha Hiroo Onoda askari wa kijapan aliyepigana zaidi y miaka ishirini na tano peke yake utaona kijeshi swala la Urio haliwezekani.Lakini Kwetu hii haishangazi maana Kuna askari polisi marehemu alikuwa ni mwandishi wa gazeti la uhuru la CCM.
 
Michongo mingine nuksi, inanikumbusha nilipewa kazi flani.. ile kazi ilinifirisi nikaanza sifuri. Mtu anajua hili pila la moto anakupa tu 😀😀😀.. ila urio kazingua sanaaa.. kuna watu specia na wenye hiyo kazi ndio walitwaki apenyezewe mwamba, hili la kuokota watu kutoka kitaa anatia mashakaa.. labda kama wana nao ni undercover 😀😀😀
JAMAA ASINGEWAKAMATISHA HAO JAMAA ILA ALIPOAMBIWA ENDELEA NA MPANGO WA KUWAPELEKA NA DCI TENA HAPO NAKO ASINGEKATAA ILIBIUDI AENDELEE NA MPANGO WA KUWAPELEKA ILI MBOWE AJULIKANE MPANGO WAKE MUOVU ILA HAWA WAMETESEKA LAKINI URIO KAWATOA KWENYE KESI WALIJUA NI WALINZI KUMBE MWAMBA ALIKUWA ANATAKA KUCHAFUA HALI YA HEWA WATATOKA LAKINI MBOWE BYE BYE
 
Ni suala la kufikirisha kidogo, na kutokana na desturi za kijeshi, lazima mwanajeshi a report kwa Command yake.

Kwanini Dennis Urio aliruka kutoka command ya Jeshi yenye Military Intelligence ambao wana mawasiliano mazuri na TISS na Polisi yeye akaenda moja kwa moja kwa DCI?

Ni kwanini mwanajeshi alifanya kazi ya upolisi wakati polisi wapo? Je, Command yake ilijua haya aliyokuwa akiyafanya?

Kwenye level ya DCI, Urio hawezi kufanya kazi na Boaz bila Gen. Mabeyo kujua

Je, alifanya haya binafsi kukichafua jeshi au kwa maslahi ya nani? Inafikirisha maana inaonesha wazi ni shahidi wa kutengeneza.
Siku zote nimekuwa nikijiuliza hili swali. Huyu Urio alifikaje huko??? Hili jeshi limefikia kufanya kazi kwa style hii???

Mwanzo niliamini kwamba jeshi (JWTZ) watakuwa hawajapendezwa ishu nzima ya hao makomando kuwa exposed Hadi ishu ya huyo bwege kuripoti huko kwa DCI na nafikiri baadhi ya wakubwa wa jeshini hawakufurahishwa sana.

Ishu ya akina Adamoo hata kama walifukuzwa bado ingekuwa dealt na MI we JWTZ. Huku ilipofika basi natarajia kuwaona MI wa JWTZ wengi zaidi wakileta ushahidi otherwise inadhihirisha kwamba Urio hakupata kibali Cha JWTZ.
 
Ni kwasababu makosa ya jinai Wana deal nayo polisi ndo maana kaenda kutoa taarifa polis , na ninafikiri mwanzo ilishaelezwa kuwa alieleza viongozi wake alaf viongozi wake ndo wakamuelekeza aende kwa DCI labda tu kama hukuifatilia hii kesi tangu mwanzo ndo utakua hujui kuhusu hilo ila lipo wazi

Sawa Kamanda Urio na hii ni ID yako.?
 
Hilo swali la Mwingereza post #1 hata mimi limenifikirisha. Kuna mtu alijibu eti kazi ya kukamata ni ya polisi.

Ndio maana tupo tunao elekea kuona kama kuna michongo katika kesi hii.
 
Hadi mawasiliano ya telegram ni narration?[emoji1787][emoji1787][emoji1787].
Kweli nyie ni vipofu na viziwi ngoja niwaache uenda siku mtakuja kuamka
Nimesoma comment zako we mtu una roho mbaya sana , hivi mbowe akifungwa utafaidika nini ? Acha roho mbaya kama shetani ,
 
Back
Top Bottom