Kwanini askari wa chini JWTZ awasiliane na DCI?

Kwanini askari wa chini JWTZ awasiliane na DCI?

Eeh! kuanzia hapo wanaamini vipi hizo taarifa? pia elewa kuna leve na leve ya taarifa na ukusanyaji wake na aina ya watu.. sio kila taarifa hukusanywa na kila aina ya mtu.. unajua utovu wa nidhamu wa hao jamaa walio achishwa jeshini?
Dogo kila mtu apewe haki yake kama siyo gaidi aachiwe na kama ni Gaidi afungwe
Hivyo tu yaani
 
kweli kabisa. Kwenye jambo hatarishi kama lile huwezi tuma mtu asie aminika.. uzuri wameisha waterm watovu wa nidhamu na walifukuzwa kazi.. wamejitia lock wenyewe labda kama hao watu ni undercove wao.. kitu ambacho tayari wamepingana nacho mahakamani.. jamaa snitch sana Urio kawatoa watu kwenye maisha yao ya kila siku kawaingiza matatizoni
Kumbe inawezekana pia kuachishwa kwao kazi ilikuwa ni trick? Ili waje wapewe special task? Labda bado ni Askari na walitumwa Kwa kazi fulani? Je wamefanikiwa Kwa kiasi gani mpaka sasa?
Inafikirisha.
 
Dogo kila mtu apewe haki yake kama siyo gaidi aachiwe na kama ni Gaidi afungwe
Hivyo tu yaani
Balance lazima iwepo, ila balance ilianza kutoweshwa na Rais siku anahojiwa na BBC.. pili wahukumiwe au kuwekwa huru kwa ushaihidi usio na mashaka..
 
Kumbe inawezekana pia kuachishwa kwao kazi ilikuwa ni trick? Ili waje wapewe special task? Labda bado ni Askari na walitumwa Kwa kazi fulani? Je wamefanikiwa Kwa kiasi gani mpaka sasa?
Inafikirisha.
Urio na mbowe wanafahamiana toka 2009.. wanafahamiana vipi mbowe na urio wanajua.. kuna uwezekano pia wa Urio nae anatumika kuna force behind man
 
Hayo masuala ya ulinzi urio ndio kawaambia makomando kuficha mpango mzima.
Lakini baadae alipowasiana na mmoja wao akasema mpango umebadilika wanatakiwa waende Moshi kumdhuru mkuu wa mkoa wa hai.
Mbona kamanda urio kasema yote.au haujasoma ?
Usiwe unatetea tu,kama hao makomando watatu hawakuandaliwa na Urio kuhusu kumkamatisha Mbowe kwenye mpango wake,basi,Boaz na timu yake wameonyesha udhaifu mkubwa sana.

Urio kuwatafuta wastaafu/walioachishwa kazi tayari aliaminiwa na Mbowe,nini kilimshinda kuwapanga hao makomando kuhusiana na uovu utakaoenda kutokea?

Hata kama Urio na Boaz walikuwa na lengo zuri ila njia iliyo tumika imeumiza wasio(makomando) na hatia,labda tu waje wakiri kosa hapo mbeleni japo maelezo ya nyuma wanaonekana hawajui lolote kuhusiana na mipango ya kigaidi zaidi ya ulinzi.
Uccm tuuache pembeni,tusaidiane kutokomeza njia za mkato kuondoa maumivu kwa wasio na hatia.

Kumbuka magaidi walivyoyekeleza mauaji kwa watoto wa Chechnia miaka ya nyuma...
 
umesoma MAELEZO mbowe alipomuita kamanda urio kule mikocheni?
Urio katoa majibu, kasema mwamba alikuwa anatumia simu tofauti tofauti.. unathibitisha vipi pasipo kuacha mashaka kuwa alikuwa mbowe alikuwa akitumia hizo namba? Mbowe sio lazima amkane anamfahamu what next?
 
Ndo shida Basi .
Kwa mujibu wa kamanda urio.
Mbowe alimuita mikocheni akamwambia nutafutie vijana wa kazi.
Akamwambia Ana lengo la kuchukua nchi kwa njia yoyote.
Anataka hao vijana wakalipue vituo vya mafuta,wakawadhuru viongozi wa serikali,wakakate miti na kufanya nchi isitawalike.
Wakaachana,siku zikapita mbowe akampigia Simu urio.mbona hao vijana hauwaleti?
Urio akamwambia vijana wameshapatikana tuma nauli.
Hapana, naomba uniwekee hapa huenda nimesahahu hata kama nilisoma
 
Ni suala la kufikirisha kidogo, na kutokana na desturi za kijeshi, lazima mwanajeshi a report kwa Command yake.

Kwanini Dennis Urio aliruka kutoka command ya Jeshi yenye Military Intelligence ambao wana mawasiliano mazuri na TISS na Polisi yeye akaenda moja kwa moja kwa DCI?

Ni kwanini mwanajeshi alifanya kazi ya upolisi wakati polisi wapo? Je, Command yake ilijua haya aliyokuwa akiyafanya?

Kwenye level ya DCI, Urio hawezi kufanya kazi na Boaz bila Gen. Mabeyo kujua

Je, alifanya haya binafsi kukichafua jeshi au kwa maslahi ya nani? Inafikirisha maana inaonesha wazi ni shahidi wa kutengeneza.
Kwanini Dennis Urio aliruka kutoka command ya Jeshi yenye Military Intelligence ambao wana mawasiliano mazuri na TISS na Polisi yeye akaenda moja kwa moja kwa DCI[emoji848][emoji2827]
 
Ni suala la kufikirisha kidogo, na kutokana na desturi za kijeshi, lazima mwanajeshi a report kwa Command yake.

Kwanini Dennis Urio aliruka kutoka command ya Jeshi yenye Military Intelligence ambao wana mawasiliano mazuri na TISS na Polisi yeye akaenda moja kwa moja kwa DCI?

Ni kwanini mwanajeshi alifanya kazi ya upolisi wakati polisi wapo? Je, Command yake ilijua haya aliyokuwa akiyafanya?

Kwenye level ya DCI, Urio hawezi kufanya kazi na Boaz bila Gen. Mabeyo kujua

Je, alifanya haya binafsi kukichafua jeshi au kwa maslahi ya nani? Inafikirisha maana inaonesha wazi ni shahidi wa kutengeneza.
Je, alifanya haya binafsi kukichafua jeshi au kwa maslahi ya nani? Inafikirisha maana inaonesha wazi ni shahidi wa kutengeneza[emoji848][emoji2827]
 
Ni suala la kufikirisha kidogo, na kutokana na desturi za kijeshi, lazima mwanajeshi a report kwa Command yake.

Kwanini Dennis Urio aliruka kutoka command ya Jeshi yenye Military Intelligence ambao wana mawasiliano mazuri na TISS na Polisi yeye akaenda moja kwa moja kwa DCI?

Ni kwanini mwanajeshi alifanya kazi ya upolisi wakati polisi wapo? Je, Command yake ilijua haya aliyokuwa akiyafanya?

Kwenye level ya DCI, Urio hawezi kufanya kazi na Boaz bila Gen. Mabeyo kujua

Je, alifanya haya binafsi kukichafua jeshi au kwa maslahi ya nani? Inafikirisha maana inaonesha wazi ni shahidi wa kutengeneza.
Kila swali na kila hoja hapa VINAFIKIRISHA MNO!
 
Back
Top Bottom