Mwingereza
JF-Expert Member
- Jan 21, 2014
- 1,115
- 2,771
Hiyo fiksi tu, ngojea wamgrill upande wa utetezi.Ni swala la kufikirisha kidogo, na kutokana na desturi za kijeshi, lazima mwanajeshi a report kwa Command yake...
Kosa la wanajeshi wastafu alitakiwa akaripoti jeshini kwanza. Acp Kingai alikuwa ArushaNi swala la kufikirisha kidogo, na kutokana na desturi za kijeshi, lazima mwanajeshi a report kwa Command yake...
Huyo ni wa kumpuliza tuuu..Swali mmojawapo Leo Ni ataulizwa unajua maana ya 'chain of command'?
Tena 24/7 mkuu ππππππhuyo ni wa kumpuliza tuuu..
ππ ππ jamaa kama askari tena special force tena ni luteni katoa boko la maanaTena 24/7 mkuu ππππππ
Najiuliza swali moja, why aliamua kuwatumia wana kuwaingiza mkenge.. ilhali kuna watu ( ndani ya vitengo vyao) angepenyezewa bwana Mbowe.. hapa ndio ananiacha hoi kabisa akili mwangu.. kila niki digest sipati majibu.. kwanini atumie watovu wa nidhamu kufanya jambo nyeti kama lileView attachment 2096906
Huyu Urio ni tatizo
Ila hilo jina hua Lina changamoto,Kuna jamaa mwingine tulikua tunafanya nae shughuli huko site alikuaga snitch snitch tu.View attachment 2096906
Huyu Urio ni tatizo
Hawakuwa wakifanya,swali la msingi je mbowe na kamanda urio walikuwa wakifanya hivyo vikao?
Hawakuwa wakifanya,
ππ Ila nimejifunza kitu mzee,kumbe sio kila deal mtu analokuitia anafanya kwa roho nzuri kumbe saa nyingine anakupeleka motoni.ππ ππ jamaa kama askari tena special force tena ni luteni katoa boko la maana
Ndo utuletee uthibitisho wewe Lt Urio Homuboi. Maana unasema hata dereva tax aliyekubeba humkumbuki na hujui alilipwa kiasi gani. Hujawahi hata kurekodi chochote na mteja wako. Basi tuseme ulinogewa na ahadi ya cheo kikubwa baada ya Mbowe kuwa Rais? Maana hukuwahi kudfaidi zaidi ya chenji 4000/- ulizobaki nazo baada ya kuwapa 195000 toka 199000.swali la msingi je mbowe na kamanda urio walikuwa wakifanya hivyo vikao?
Michongo mingine nuksi, inanikumbusha nilipewa kazi flani.. ile kazi ilinifirisi nikaanza sifuri. Mtu anajua hili pila la moto anakupa tu πππ.. ila urio kazingua sanaaa.. kuna watu specia na wenye hiyo kazi ndio walitwaki apenyezewe mwamba, hili la kuokota watu kutoka kitaa anatia mashakaa.. labda kama wana nao ni undercover πππππ Ila nimejifunza kitu mzee,kumbe sio kila deal mtu analokuitia anafanya kwa roho nzuri kumbe saa nyingine anakupeleka motoni.
Ukicheki hao washkaji makomandoo wastaafu walikua wanafanya kazi decent kabisa,Kuna ambae alikua Ni mkulima wa mahindi, mwingine Ni dereva wa hizi gari za IT, mwingine Yuko Kule Moro na Wale jamaa wa Yepi Merkezi.
Mkuda kawaita masela wanajua jamaa anawapa mchongo wa maana kumbe anawapeleka motoni kimakusudi.
Hawa jamaa wakitoka wasipomfanyizia Urio watakuwa mafala. Wakifungwa ndugu zΓ o Wazae na Urio.[emoji1][emoji1] Ila nimejifunza kitu mzee,kumbe sio kila deal mtu analokuitia anafanya kwa roho nzuri kumbe saa nyingine anakupeleka motoni.
Ukicheki hao washkaji makomandoo wastaafu walikua wanafanya kazi decent kabisa,Kuna ambae alikua Ni mkulima wa mahindi, mwingine Ni dereva wa hizi gari za IT, mwingine Yuko Kule Moro na Wale jamaa wa Yepi Merkezi.
Mkuda kawaita masela wanajua jamaa anawapa mchongo wa maana kumbe anawapeleka motoni kimakusudi.
Ndioulikuwepo?