Ninyi si ndio mmezoea kubebwa bebwa na kujengewa hadi misikitiWatu hujenga dhana pale double standards zinapojitokeza.
Kuna upande hua hauguswi au kwa vile upo connected na mabeberu. KKKT- beberu la Germany na hutoa sn misaada
Askofu amefanya kosa gani??!Kwanza umekosea sana, mimi sina chama bali muumini wa haki.
Ungejikita katika mada je kwann askofu hakamatwi?
Na leo utamsikia kanisani akisema MNIOMBEEEEEE.Very sad indeed is like black live in America no one care, second class citizen
Bro kanisa katoliki na viongozi wao husikii aakisema chochote japo mambo mengi yapo hovyo ...ni mtu mmojamoja sana yule wa bukoba labda. Na mwamakula ambae si mkatoliki wamejitahidi lakini hawajawahi kamatwa kwanini ponda akamatwe...hii inaleta chukiwengine haya tuliyaona kitambooo
zama hizii tangu zinaanza kina Gwajima wanafanya vuruguu kwenye nyumba za ibada lakini serikali iko kiiiiimya. waraka za kila leoo kutoka za viongozi wa makanisa kuikosoa serikali.
tukawa twajisemea suala hili akifanya muislam tuu jela ndo makazi yake na kesi nzito nzitooo zinamfuata nyuma yakeee
@Nifah mdogo mimi sipendi uingie huku kwenye mambo ya kukuletea stress bure mtoto mzuri, wanaonyanyaswa nchi hii ni wengi sio Waislam tu, hata watumishi wa umma wapo wanaodhulumiwa sana ila tu hawaongei.Tumia akili yako ndogo kufikiri, waraka umetoka siku ngapi kabla ya Sheikh Ponda kukamatwa? Kwanini viongozi hao wa taasisi hawakutoka hadharani kuupinga waraka huo hadi tu pale alipokamatwa Sheikh Ponda? Kama taasisi kwanini wasingetoa hata barua rasmi hadi tusikie kupitia kwa Inspekta wa Polisi kwamba viongozi wa taasisi wameukana waraka?
Msidhani hatuna akili ya kuona udhalimu huu dhidi yetu Waislam, mambo kama haya ndio hupelekea kuanzishwa kwa vikundi vya kigaidi.
Una uhakika yule wa Bukoba ni Mkatoliki?Bro kanisa katoliki na viongozi wao safari hii rais mkatoliki husikii aakisema chochote japo mambo mengi yapo hovyo ...ni mtu mmojamoja sana yule wa bukoba labda. Na mwamakula ambae si mkatoliki wamejitahidi lakini hawajawahi kamatwa kwanini ponda akamatwe...hii inaleta chuki
Heshima yako mkuu!Tumia akili yako ndogo kufikiri, waraka umetoka siku ngapi kabla ya Sheikh Ponda kukamatwa?
Kwanini viongozi hao wa taasisi hawakutoka hadharani kuupinga waraka huo hadi tu pale alipokamatwa Sheikh Ponda?
Kama taasisi kwanini wasingetoa hata barua rasmi hadi tusikie kupitia kwa Inspekta wa Polisi kwamba viongozi wa taasisi wameukana waraka?
Msidhani hatuna akili ya kuona udhalimu huu dhidi yetu Waislam, mambo kama haya ndio hupelekea kuanzishwa kwa vikundi vya kigaidi.
Very sad indeed is like black live in America no one care, second class citizen
Wewe ni CCM tuKwanza umekosea sana, mimi sina chama bali muumini wa haki.
Ungejikita katika mada je kwann askofu hakamatwi?
Ya kibiti unayajua wewe,waulize wanaokaa kibiti wakuambie,Anzisheni hivyo vikundi vyenu vya kigaidi tuwaoneshe kazi ! !!
... Kawaulinze wezenu wa kibiti wako wapi . Toka nyuma ya keyboard anzisha hicho kikundi chenu alfu muone
Una umri gani kwanza,
Anti balaka Africa ya Kati ni waislamu?
Jibu ni Waislamu ni Magaidi. Ukisikia Magaidi ujue ni Waislamu