Haya ulikuwa unasema nimegugo picha na unanibishia haya bisha tena
View attachment 2388259
Nimekuambia nina file zima kwenye simu yangu la kudili na wapumbavu maana ndio Kazi yangu humu na nina ijali Kazi yangu sioni hasara kutafuta maana nina kila details na screenshots zaidi ya miatatu(300) mtu naweza kumuonyeshea ujinga wake ambao hata yeye mwenyewe haukumbuki tena sio kwa porojo bali kwa ushahidi wa wazi kabisa na najiamini..
Haya
Mcqueenen sema unaniruhusu niweke picha yako halisi ya jamaa shoga ?
cc:
mr chopa
Baada ya kuwa sober ngoja nikushauri mdogo wangu.
Inaonekana una akili ila hujui pa kuzielekezea.
Huo muda unaotumia kufuatilia watu humu fanya mambo ya msingi kama kutafuta hela. Huenda ukaongeza nguvu kujenga taifa.
Humu jf watu wana fake ID for a reason..Usimchukulie mtu serious sana maana wengi wanatunga vistory humu na wapo ambavyo hawapo in real life.
Na fake ID unajua maana yake? It means kuanzia jina mpaka Avatar huwa fake umeelewa?
Wewe jadili hoja anazosema mtu achana na kumjadili huyo mtu.
Mambo ya kumfuatilia sijui jana alisemaje ni aina fulani ya ujobless na frankly speaking ni umbea wa kishoga.
Discuss mtu anachosema kwa wakati huo, achana na mwaka jana alisemaje maana mtu anaweza kuongea kitu kwasababu ya stress, pombe, utani, mzaha, nk.
And btw binadamu sio static kama jiwe kwamba milele atakuwa na mawazo yaleyale...Leo anaweza kuwa Chadema ila kesho akashawishika na hoja flan za CCM akabadilika...Usiwe so biased kwamba lazima uwe na upande fulani CCm au chadema uislam au ukristo. Usiwe biased kwamba ukiwa upande fulan basi kazima ukubali kila kitu kuhusu huo upande bila kuhoji na ukatae kila kitu kuhusu upande wa pili unaooppose, its not always black and white.
Wewe usikariri sijui jana mtu alisemaje, we dili na anachosema wakati huo.
Achana na kumfuatilia mtu.
Achana na kumfuatilia mtu.
Narudia tena, achana na kufuatulia ID yoyote.
You are greater than that mkuu.