Duh, hili somo gumu sana.
Mimi kwanza sifuatilii watu humu hiyo ni A.
B, mimi wala sijasema unakosea kunichokoza infact nakupa uhuru uongeze kunichokoza na kunichallenge kila comment yangu.
C, labda ntoe mfano: Imagine uwe na watoto wa3 halafu siku moja uwapeleke hotel kubwa uwaambie ''leo nawapa uhuru wa kula chochote mnachojisikia haijalishi bei au idadi"
Mmoja akala oysters za million 50 , Mwingine akala magadi ya alo vera na mwingine akala mavi yake.
Lazima umkemee aliekula mavi...Sasa apa ishu sio ule uhuru wa kula chochote na wala aina ya chakula wanachokula kwasababu ulishakubali gharama yoyote.
Na unapomkemea anayekula mavi sio kwamba ukimuacha ayale itakuathiri wewe kivyovyote, ila unamhurumia afya yake mwenyewe.
Relate na Jf, hapa kuna uhuru w kuandika chochote, na ukinichokoza hainiaffect vyovyote, ukinifuatilia hainiaffect vyovyote, ila naona kama inakuaffect wewe mwenyewe ndo maana nkakushauri uache.