Kwanini baadhi ya vitabu vimetolewa katika biblia?

Kuficha ukweli
Ukweli upi uliofichwa? WAFUASI WA YESU HAWATEGEMEI KUSOMA VIPANDE VYA KARATASI ILI WAJUE HILI NI JEMA NA HILI SIO JEMA! YESU AMETUFUNDI MEMA NA MAOVU KUPITIA DHAMIRA NJEMA ALIYO TUUMBIA NDANI![emoji106] Tofauti sana na nyinyi waisilamu ili kujua ZINAA NI UOVU hadi usome vipande vya karatasi [emoji12] ndipo ibilisi [emoji83]Alipo wapata kwa KUCHANGANYA KWELI YA MUNGU NA KWELI YAKE KUWATUPIA KWENYE KARATASI NA NA YOOTE MKAPOKEA KUWA NI KWELI YA MUNGU[emoji12] ref; suratul muuminun.1-6 sita uone ibilisi ALIVYO RUHUSU ZINAA KWA KIPUNJO [emoji44][emoji12] nikuulize jee HAO UNAO WAMILIKI MKONO WA KUUME NI WAKE ZAKO??
IMG_20191002_115005_028.jpeg
 
1. Kuficha maarifa.
Vitabu vingi vilitolewa/havikuwekwa kwenyr biblia kwa lengo la kuwafanya watu walio wengi kuwa wafuasi wa watu wengine kwa kuwa kama vyote vingewekwa bayana, kweli ingejulikana na kila mtu, kwa hiyo asingejuwepo yeyite ambaye angefunga safari ya kwenda kanisani kumsikiliza mchungaji. Mtu kama mtume paulo alikuwa msomi, nasikia alikuwa mwanafunzi wa aristotle (naomba kurekebishwa kama nimekosea hapa). Mtume paulo aliandika vitu vingi sana kinaga ubaga kiasi cha watu kuhofia kuwa watu hawatakuwa ni wenye kutii mamlaka kama maandiko yake yote yatawekwa wazi.

2. Kulinda heshima ya baadhi ya watu wa Mungu
Kuna rafiki yangu mmoja anasoma theolojia aliniambia kuwa kuna vitabu ambavyo havipo kwenye biblia vinaeleza mabaya/mapunhufu ya mitume/wafalme/manabii ambayo kama yakiwa wazi watu watapunguza imani yao kwa watu hao na Mungu. Kwa mfano, wote tunajua kuwa daudi alikuwa mzinzi, lakini kuna vitabu vinaenda mbali zaidi na kusema kuwa aliwahi kujihusisha na mapenzi ya jinsia moja. Pia injili ya tomaso kama sikosei, inaeleza kuwa yesu wakati akiwa mdogo aliwahi mpiga mtoto wa jirani hadi kumuua. Pia injili ya mke wa yesu (maria magdalene) inaonyesha ni jinsi gani yesu alioa na kupata watoto na kanisa aliachiwa maria magdalene na sio perto kama tujuavyo sasa.
Kwa hiyo mambo kama haya kama yangekuwa wazi kabisa sidhani kama kuna mtu angekuwa anasumbuka na dini

3. Kulinda maslahi binafsi.
Wale walioandaa hii biblia ni wanadamu na walikuwa na malengo yao fulani fulani mbali na hili la kuweka wazi uwepo wa nguvu ya mungu kati yetu. Kwa hiyo kuna namna ambayo huenda walitumia kuondoa baadhi ya vitu ili kulinda maslahi yao.

N.B. Sina utaalam/ujuzi/maarifa/elimu kuhusu mambo ya dini wala biblia.
Mbona unatuletea story za vijiweni? Humu hakuna Habari za kusikia,. leta reference ukweli ujulikane.
 
[l/QUOTE]
Daaaah! Mkuu nimechoka akili. Mke wa Yesu tena?
Hao watoto wako wapi alio zaa naye
huyo mke? Au ni mimi hapa babu yangu alikuwa huyo?
Kumbe ndo maana ulaya makanisa yakotupu.wanaishi panya.
Hawatapata mutu hapa nasema subiri.
 
1. Kuficha maarifa.
Vitabu vingi vilitolewa/havikuwekwa kwenyr biblia kwa lengo la kuwafanya watu walio wengi kuwa wafuasi wa watu wengine kwa kuwa kama vyote vingewekwa bayana, kweli ingejulikana na kila mtu, kwa hiyo asingejuwepo yeyite ambaye angefunga safari ya kwenda kanisani kumsikiliza mchungaji. Mtu kama mtume paulo alikuwa msomi, nasikia alikuwa mwanafunzi wa aristotle (naomba kurekebishwa kama nimekosea hapa). Mtume paulo aliandika vitu vingi sana kinaga ubaga kiasi cha watu kuhofia kuwa watu hawatakuwa ni wenye kutii mamlaka kama maandiko yake yote yatawekwa wazi.

2. Kulinda heshima ya baadhi ya watu wa Mungu
Kuna rafiki yangu mmoja anasoma theolojia aliniambia kuwa kuna vitabu ambavyo havipo kwenye biblia vinaeleza mabaya/mapunhufu ya mitume/wafalme/manabii ambayo kama yakiwa wazi watu watapunguza imani yao kwa watu hao na Mungu. Kwa mfano, wote tunajua kuwa daudi alikuwa mzinzi, lakini kuna vitabu vinaenda mbali zaidi na kusema kuwa aliwahi kujihusisha na mapenzi ya jinsia moja. Pia injili ya tomaso kama sikosei, inaeleza kuwa yesu wakati akiwa mdogo aliwahi mpiga mtoto wa jirani hadi kumuua. Pia injili ya mke wa yesu (maria magdalene) inaonyesha ni jinsi gani yesu alioa na kupata watoto na kanisa aliachiwa maria magdalene na sio perto kama tujuavyo sasa.
Kwa hiyo mambo kama haya kama yangekuwa wazi kabisa sidhani kama kuna mtu angekuwa anasumbuka na dini

3. Kulinda maslahi binafsi.
Wale walioandaa hii biblia ni wanadamu na walikuwa na malengo yao fulani fulani mbali na hili la kuweka wazi uwepo wa nguvu ya mungu kati yetu. Kwa hiyo kuna namna ambayo huenda walitumia kuondoa baadhi ya vitu ili kulinda maslahi yao.

N.B. Sina utaalam/ujuzi/maarifa/elimu kuhusu mambo ya dini wala biblia.
Hakuna KILICHO fichwa bro!
BIBLIA TAKATIFU YENYEWE IMEJIWEKA WAZI!
IMG_20191109_204416_010.jpeg
 
Vinawasema wazungu kuwa ni nefilimu. Havifichi ukweli wao
 
hivi siwezi kupata link ya kusoma hivyo vitabu vilivyoondolewa??
 
Biblia ni kitabu kinachojumuisha vitabu mbalimbali vilivyoandikwa na watu mbalimbali katika nyakati tofauti na sehemu tofauti.
Biblia ni mkusanyiko wa hivi vitabu ambavyo viliandikwa na waandishi mbalimbali ksha vikapangwa katika mtiririko unaofaa kuanzia miaka ya mwanzo kabisa hadi ya mwisho (Mwanzo hadi ufunuo).

Kitabu cha kwanza kwenye biblia ni Mwanzo ambacho kinaelezea uumbaji wa hii dunia, binadamu wa kwanza na habari za awali kabisa za dunia na ulimwengu. Kitabu cha mwisho ni Ufunuo Kilichoandikwa na Yohane Mbatizaji.

Hivi vitabu viliandikwa katika lugha ya kiebrania eneo la mashariki ya kati na sehemu za kaskazini mwa Africa (Misri, Ethiopia, Libya n.k) kwa sababu ndipo MUNGU alipopachagua ili neno na habari zake zisambae sehemu nyingine za ulimwengu.
Biblia imeanza kutumika rasmi baada ya kuondoka kwa Yes Kristo ila maandiko yalikua yamehifadhiwa hata kabla ya Kristo kuja duniani.

Shida yangu ni hii
1/Kwanini vitabu kadhaa vitolewe kwenye biblia kwa misingi ya mawazo ya watu? Kama maandiko yanaonya kuongeza au kupunguza neno la MUNGU kwanini binadamu wanatoa hivyo vitabu?
2/Kitabu cha Enoch kimeondolewa, vitabu vya deuteron kanoni vinaumiwa na Roman Catholic ila Protestant na makanisa mengine hayavitumii! Injili ya Thomas, Bikira Maria, Injili ya Yuda, Injili ya Barnabas, Injili ya Eva na vitabu vingine vingi?
Ni kwaninihivi vitabu vitolewe wahusika hawakuona wanakwenda kinyume na maandiko ya MUNGU?
Naogopa kuchangia LAKINI NAOMBA NITAKACHOKICHANGIA KUBAKI KUWA MAWAZO BINAFSI NA NIKO TAYARI KUWA CHALLENGED

Haya maswali hata mimi yaliwahi kunisumbua sana, namshukuru Mungu nilipata ambacho kwa upande wangu niliamini ni MAJIBU...

Kulingana na ONE MUSLIM THEOLOGIAN aliwahi kunifafanulia kuwa Mitume Wote kabla ya MUHAMMAD waliletwa kwa mataifa maalum na nyakati maalum hivyo HATA VITABU VYAO VILILETWA KWA AJILI YA MATAIFA HUSIKA KWA NYAKATI HUSIKA hivyo it served its purpose ndiyo maana baadaye either vimeonekana kutoendana na wakati au kuonekana kugongana maandiko mengine HIVYO KUONEKANA VITABU HIVI HAVINA UMUHIMU SANA....

Ndugu zangu DINI hizi iwe Uislam, Ukiristu, Uhindu, Uyahudi, Ubudha n.k zinatakiwa kutupa majibu ya maswali magumu hasa ya kiimani na maisha yetu baada ya hapa... nashauri tufanye tafiti na kupata majibu juu ya maandiko tunayoyaamini...

Jamani msinipige mawe ni.mtazamo wangu tu... hata mini AM NOT THAT MUCH A PRACTICING FOLLOWER... hivyo am not propagating any faith
 
Weyee! nyegeze nawe ??!! saa hapo ndo umesema nini wajameni!! kabisaaa!! unaona umechangia???mweee!!
 
Kitabu cha ufunuo hakikuandikwa na Yohana Mbatizaji
 
Back
Top Bottom