Kwanini baadhi ya wadada ukiwatongoza, wanajibu kikatili bila sababu?

Ni mara ngapi tunawaambia

Nakukumbusha tena "Tafuta helaaaa".
 
Tafuta hela mkuu., na ukikueleza matatizo yake ya kifedha kama kodi ya nyumba, sijala, mama anaumwa, nimechoka kupanda daladala nk, wew mpe hela usiulize sana hapo mkuu utakuwa unawapata kirahis.
Hapa unalenga kutafuta kimada au mke ambaye kweli mtajenga familia?? Tujue kwanza!
 
Mbona sikuhizi 50 50....tunatongoza pia! Au huna mkwanja na kama unao labda mkono wa birika[emoji54]
90% mwanamke akija kukutongoza anaagenda yake nawanaanzaga mwanzoni ila kumalizia wanataka umalizie wewe. Wataanza siku moja, inayofuata wanafikiri washaolewa na ukisema umsome kwanza atataka kuvunja urafiki kwakuwa wanakuwaga very superficial wakitaka haraka agenda yao itiki wewe uwefursa. Ni more than 2x nimekiona hiki. Atakayekubali hayo mahusiano atajuta.
 
Ila vijana wa humu huwa mnafurahisha sana...[emoji23]
 
Sawa tumekuelewa mkuu
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
We ni kama unatafuta mazungumzo ya amani ktk ya uwanja wa vita, haiwezekani, ustaarabu unaoutaka ni wa miaka ya 70 kurudi nyuma, ni ngumu mno. Mahusiano ya kimapenzi now days ni bidhaa kama bidhaa nyingine lazima ununue.
 

Polee mkuu! amekubamiza uyo mtoto mzuri?
 
Wengi wao huwa wana matatizo ya kisaikorojia au matatizo ya afya ya akili ukitaka kuamini hiki ninachokueleza mchunguze hata mwenendo wa maisha na matendo au hata anavyozungumza utagundua kuna kitu kinapungua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…