Financial Analyst
JF-Expert Member
- Nov 27, 2017
- 2,404
- 5,682
😁😁Dini zenye ni ubatili tu.
Vitisho tu na jehanamu za kubashiri utadhani kuna mtu aliwahi kufika huko
Umeeandika utumboo mreeeeefu hio yote kuonesha how obsessed you are 😁😁Nan yuko obsessed na mwenzie, angalia tukio akifanya mtu mwenye jina la kiislamu basi itatajwa mpaka dini yake , muda mwingin ni sehemu ya jamii tu ila lazima mtaje . Utasikia gaidi la kiislamu , ebu muangalie yule mk254 alivyokuwa obsessed ..Angalia nongwa zenu akiteuliwa muislamu , kipind cvha rais mkristo kulikuwa kimya ila ngoja aingie muislamu muone nongwa zenu .
Hapa tu kuna nyuzi ya madawa ya kulevya nimetagiwa , kisa kuna muislamu ..Kuweni makini na mkome
.
Tatizo akifanya muarabu watatukanwa waislmu wote , wakati waarabu wana dini zao nyingine hata mila . Uislamu ndiyo unasemwa sana na watu wasiokuwa na kazi mpaka mkasababisha ukasambaa bila ya nyie kujua . Huko nje , waislamu wanavamiwa sehemu za ibada , sawa wako ugenini mbona nyie mnataka mila zenu kwenye nchi za kiislamu , tena bunge la nchi ya kikristo linapanga kwenda kusababisha vita nchi ya kiislamu , jiangalieni wagalatia ..
Kaeni kimya , trumph kakoswa kuuliwa mara mbili, hao wauawaji hawajatajwa kwa dini yao wala kuitwa magaida hata ..Sasa ngoja muislamu amguse hata mgalatia kwa bahati mbaya . Siku nyie mkivunja uhusiano wenu na msipofika nchi za kiislamu basi na hapo matatizo ya kidini yataisha .
Kwenye nchi za kiislamu mnapeleka kambi za jeshi na kushambulia nchi nyingine , mnatafuta nn si mbaki kwenu ?
Kuanzisha uzi kama huu ni dalili tosha kuwa wewe ndiye mwenye matatizo na shida kubwa kichwani , ndio maana mada zako nyingi kushambulia Uislamu halafu unakuja hapa kutema mashudu kama unekunywa visungura vile .Hawa jamaa ni kama manifesto yao inasoma nusu ni mafundisho nusu ni kushambulia wakristo.
Yani wanakereketwa sana na amani waliyonayo wakristo, sasa ili kushare nao maumivu yao lazima watafute hoja mavi.
Yani ni kama una mke lakini kuanzia asubuhi hadi jioni mara kwa mara unamzungumzia mke wa rafiki yako.
Umasikini ulitushinda na dini nazo zimetushinda, watu wamebaki mbumbumbu sasa.
Unaweza kuta jamaa anakalili vifungo kwa juu juu ili aje aponde watu lakini hauwezi kuta mkristo ana quran na anatafuta battle za kijinga jinga.
Kijakazi
“Elimu bora si kujua mengi, bali kutumia unachojua kwa hekima.”Hawa jamaa ni kama manifesto yao inasoma nusu ni mafundisho nusu ni kushambulia wakristo.
Yani wanakereketwa sana na amani waliyonayo wakristo, sasa ili kushare nao maumivu yao lazima watafute hoja mavi.
Yani ni kama una mke lakini kuanzia asubuhi hadi jioni mara kwa mara unamzungumzia mke wa rafiki yako.
Umasikini ulitushinda na dini nazo zimetushinda, watu wamebaki mbumbumbu sasa.
Unaweza kuta jamaa anakalili vifungo kwa juu juu ili aje aponde watu lakini hauwezi kuta mkristo ana quran na anatafuta battle za kijinga jinga.
Kijakazi
😂😂😂Dini zenye ni ubatili tu.
Vitisho tu na jehanamu za kubashiri utadhani kuna mtu aliwahi kufika huko
Na kwanini mafunzo yao yamelenga sana ngono huko peponi?Hawa jamaa ni kama manifesto yao inasoma nusu ni mafundisho nusu ni kushambulia wakristo.