kyanyangwe
JF-Expert Member
- Oct 31, 2018
- 1,275
- 3,316
Wakuu,
Kuna hii tabia ya hawa wanawake wa hapa kwetu Tanzania kupenda kuomba omba sana.
Mfano nimeamka tu asubuhi ya leo nimekutana na vijimeseji vya kuombwa mara elfu 15 mara elfu 10,na cha kushangaza hao wanaonipiga vizinga wako poa tu kiuchumi mmoja ni banker na mwingine yuko kwenye NGO moja ya kimataifa.
Hivi kuomba omba ni sifa kwa wanawake wa Tanzania?