Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 9,016
- 24,650
Uko kiprovide kuna terms and conditions mzee baba sio unaprovide tu kwa sababu wewe mwanaume na yeye mwanamke.Wanawake wanajua sifa yetu ni kuprovide ndo maana ukionesha interest nao lazima watakuomba tu.
Alafu sie wanaume wa kibongo tupunguzeni malalamiko, wanawake wanaomba pesa ndogo ndogo sana ambazo tunapoanzisha hadi mada za kulalamika tunajitia aibu sana.
Kaa kitaalamu mjini hapa, utaishia kuwajengea nyumba wanawake wakati wewe umepanga.