Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 15,954
- 35,415
Kabisa mkuuKwa hiyo jamaa ajiongeze apate asali
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabisa mkuuKwa hiyo jamaa ajiongeze apate asali
Hivi unawajua wanawake au unawasikia 🤣 huyo mwanamke ambaye unahisi amekupenda kisa umemhonga chipsi kuku, ujue alikuwa anakupenda tu kabla hujamhonga hiyo chipsi kuku..walivyo.mwanamke atakupenda kisa tu umemuhonga chips kuku.na sio kama hana hela ya kununua hicho kitu bali ndio walivyo.
Kuna baadhi ya wanaume na wanawake wanasema kuwa "mdada akikuomba hela mda mfupi baada ya wewe kumtongoza, hiyo inamaanisha kuwa hakupendi" hili unalizungumziaje?Wanawake wanajua sifa yetu ni kuprovide ndo maana ukionesha interest nao lazima watakuomba tu.
Alafu sie wanaume wa kibongo tupunguzeni malalamiko, wanawake wanaomba pesa ndogo ndogo sana ambazo tunapoanzisha hadi mada za kulalamika tunajitia aibu sana.
Si bora akae baa anakula bata,😁 wadada wajanja wakipata hela za maboya wanaongeza zao wananunua kiwanja na wanaanza ujenzi, wengine hadi magari wananunua, mwanaume ulietoa hela unaishia kupauka kwa jua na vumbi Bush DoktaLeo weekend hapo msg imetumwa kwa malofa kama 10. Hakosi maboya 5 yatatuma japo elfu 10 , 5, elfu 20.
Jioni yuko Bar anakula Bata huku akijidai yuko NGO inalipa vizuri
Kwa dunia ya sasa kuombwa pesa mapema, direct haiwezi kua justification ya kua hupendwi.Kuna baadhi ya wanaume na wanawake wanasema kuwa "mdada akikuomba hela mda mfupi baada ya wewe kumtongoza, hiyo inamaanisha kuwa hakupendi" hili unalizungumziaje?
Pesa ndogo wanazoomba kama kweli ni ndogo na sio za kuzipa uzito, kwanini wanaziomba? Mwanaume ukizitoa hizo pesa, kwenye hayo mahusiano wewe mwanaume unafaidika na nini au unatarajia kufaidika na nini? Mr. Sound