Shooter Again
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 5,603
- 9,263
Hamna kitu kama hicho miaka hii upendo anatoa Kwa baba yake sio wewe yaani uwe choka mbaya akupende miaka hii sahau kiufupi mwanaume ukiwa choka mbaya ni mzigo Kwa mwanamke na mwanamke hawezi beba mzigo vinginevyo ni kujifariji tu kwakua ni masikiniTena mademu choka mbaya ndo wanavizinga kweli na K zao ni biashara demu anayejielewa K anatoa Kwa upendo tu