Kwanini baadhi ya wanawake wa Tanzania ni omba omba sana hata kama uwezo wa kifedha wanao?

Wakuu
Kuna hii tabia ya hawa wanawake wa hapa kwetu Tanzania kupenda kuomba omba sana.
Mfano nimeamka tu asubuhi ya leo nimekutana na vijimeseji vya kuombwa mara elfu 15 mara elfu 10,na cha kushangaza hao wanaonipiga vizinga wako poa tu kiuchumi mmoja ni banker na mwingine yuko kwenye NGO moja ya kimataifa.
Hivi kuomba omba ni sifa kwa wanawake wa Tanzania?
Leo weekend hapo msg imetumwa kwa malofa kama 10. Hakosi maboya 5 yatatuma japo elfu 10 , 5, elfu 20.
Jioni yuko Bar anakula Bata huku akijidai yuko NGO inalipa vizuri
 
Wewe una nyota ya kuwa masikini! Jitathimini! Mimi siombwagi hela! Najiongezaga tu mimi mwenyewe ili kulinda hadhi ya uanaume wangu!
 
Leo weekend hapo msg imetumwa kwa malofa kama 10. Hakosi maboya 5 yatatuma japo elfu 10 , 5, elfu 20.
Jioni yuko Bar anakula Bata huku akijidai yuko NGO inalipa vizuri
na hao maboya kama wa 5 huwa wanapiga kwa wakati tofauti;

kama umeelewa mzigo na unataka kuishi unatoa izo elfu 10,5,20.
 
Sasa chief,kama huna pesa unaweka number za wanawake kwenye phone book yako za kazi gani?
Binafsi baada ya kufulia nilifuta na kublock number za wanawake wote kwenye simu yangu,nikabakiza za ndugu zangu tu.
Maamuzi mazuri
 
Nyie ndio mnaharibunsoko na kuwapa mabichwa hawa warembo watuombe mihela mingi...so buku kumi ndogo kweli jamani...mbona hela nyingi sana hiyo
Huyo atakuwa zuzu, acha ahonge gari halafu demu Huyo huyo sisi tutamkula kwa kumletea ice cream.
 
Wakuu
Kuna hii tabia ya hawa wanawake wa hapa kwetu Tanzania kupenda kuomba omba sana.
Mfano nimeamka tu asubuhi ya leo nimekutana na vijimeseji vya kuombwa mara elfu 15 mara elfu 10,na cha kushangaza hao wanaonipiga vizinga wako poa tu kiuchumi mmoja ni banker na mwingine yuko kwenye NGO moja ya kimataifa.
Hivi kuomba omba ni sifa kwa wanawake wa Tanzania?
Zetu ni zetu na zao ni zetu hapo lazima tuombe tu hakuna namna
 
Ugonge demu Kwa ice cream miaka hii unaota wewe labda choka mbaya wenzio ioa sio demu anaejielewa endelea kujifariji
Tena mademu choka mbaya ndo wanavizinga kweli na K zao ni biashara demu anayejielewa K anatoa Kwa upendo tu
 
Back
Top Bottom