kyanyangwe
JF-Expert Member
- Oct 31, 2018
- 1,275
- 3,316
Na wewe mleta mada mpumbavu tu kama wapumbavu wengine ungesema baadhi ya wanawake wa Tanzania lakini kusema wanawake wa Tanzania uliwafanyia utafiti wote mamilioni yote ya wanawake wote Tanzania nzima bwege wewe na lofa mkubwa.Wakuu
Kuna hii tabia ya hawa wanawake wa hapa kwetu Tanzania kupenda kuomba omba sana.
Mfano nimeamka tu asubuhi ya leo nimekutana na vijimeseji vya kuombwa mara elfu 15 mara elfu 10,na cha kushangaza hao wanaonipiga vizinga wako poa tu kiuchumi mmoja ni banker na mwingine yuko kwenye NGO moja ya kimataifa.
Hivi kuomba omba ni sifa kwa wanawake wa Tanzania?
Another manipulated manSasa chief,kama huna pesa unaweka number za wanawake kwenye phone book yako za kazi gani?
Binafsi baada ya kufulia nilifuta na kublock number za wanawake wote kwenye simu yangu,nikabakiza za ndugu zangu tu.
Wanawake wanajua sifa yetu ni kuprovide ndo maana ukionesha interest nao lazima watakuomba tu.Wakuu
Kuna hii tabia ya hawa wanawake wa hapa kwetu Tanzania kupenda kuomba omba sana.
Mfano nimeamka tu asubuhi ya leo nimekutana na vijimeseji vya kuombwa mara elfu 15 mara elfu 10,na cha kushangaza hao wanaonipiga vizinga wako poa tu kiuchumi mmoja ni banker na mwingine yuko kwenye NGO moja ya kimataifa.
Hivi kuomba omba ni sifa kwa wanawake wa Tanzania?
Hela ya mwanamke inaweza kuwa ya wote kama mnapendana na kakupenda kweli ila kama hakupendi jiandae kuwa buzi na ukifulia anakuacha au anakudharau waziwaziuwa mnafeli sana.
Mnapohisi kuwa hela za mwanamke zinaweza kuwa Za wa wote.
hao kiasili wameumbwa kupewa ndivyo walivyo.mwanamke atakupenda kisa tu umemuhonga chips kuku.na sio kama hana hela ya kununua hicho kitu bali ndio walivyo.
Nyie ndio mnaharibunsoko na kuwapa mabichwa hawa warembo watuombe mihela mingi...so buku kumi ndogo kweli jamani...mbona hela nyingi sana hiyoZinakutosha kweli kichwani mkuu?
Yani mzinga wa elfu 25 ndio unakuja kuanzisha uzi huku?
Ukipigwa mzinga wa kununua gari si utakufa wewe?
Afu mbona unaruka na mademu wenye njaa kali hivyo?demu anaomba elfu 10 seriously?
Unao wangapiWakuu
Kuna hii tabia ya hawa wanawake wa hapa kwetu Tanzania kupenda kuomba omba sana.
Mfano nimeamka tu asubuhi ya leo nimekutana na vijimeseji vya kuombwa mara elfu 15 mara elfu 10,na cha kushangaza hao wanaonipiga vizinga wako poa tu kiuchumi mmoja ni banker na mwingine yuko kwenye NGO moja ya kimataifa.
Hivi kuomba omba ni sifa kwa wanawake wa Tanzania?
Kwa hiyo jamaa ajiongeze apate asaliHao ndio rahisi kuchapika, dem ombaomba ni rahisi kupata mzigo kuliko asieombaomba.
Huyo ata malofa wanajipigia.
Wenyewe umewauliza binamu?Wakuu