Kwanini baadhi ya Wasomali wakifika Kenya wanabadili dini na kuacha uislam?

Kuna wakati mtu anasoma mada kwa spidi ili ajibu au kutetea imani how?.

Fungua kwanza ile link ya BBC usome investigation story ya mwandishi alafu oanisha na bandiko letu hapa kisha reply sasa.

Maana unaweza kujikuta dunia si mahala pako asee 😀!.
 
😂😂😂😂
 
Unafikiri hizo figure za 20 na 200 nimetoa wapi? Kwenye hio link, unlike you nimesema na kufanya homework yangu, ila 100% wewe umenijibu bila kufungua hio link la sivyo ungeona data nilizoweka zimewekwa kwenye link
 
na mm sijasema wasomali wote
Wengi ni waislam mfu wanaogopa kubadili dini
Tanzania na Kenya kuna wa Somali in millions, kama wametoka 20 mpaka 200 that's just rounding figure, kama shida ni kuanzisha mjadala sawa, ila that figure haina maana yoyote, pengine hao wasomali wanataka tu visa za Ulaya.
mabara ni wahamiaji hao kutoka syria na nchi zenye vita
Lugha gongana, conversion has nothing to do with migration, mtu ana convert toka dini Moja kwenda nyengine, Migrant tayari anakuja na dini yake.

Ulaya Hao wazungu na raia wengine ndio wana convert Na katika dini zote Duniani ni uisilamu, Atheist na folks religion tu ambao wanaondoka ni wachache kuliko wanaoingia.

Wamekutana na imani ya kweli
 
Wasomali wangapi wamebadilisha dini mzee mbona unagenaralize as if wasomali wote wakienda kenya ni kawaida yao kubadilisha dini? Na umefanya utafiti? Au umeangalia documentary kwenye BBC? Majobless bwana
 
mbona hasira kwan wakibadili we unapungukiwa nn??
Hujaona hiyo link
Wasomali wakienda ulaya na wakienda kenya wengi hubadili dini
 
sawa tunaongelea wasomali
 
Unafikiri hizo figure za 20 na 200 nimetoa wapi? Kwenye hio link, unlike you nimesema na kufanya homework yangu, ila 100% wewe umenijibu bila kufungua hio link la sivyo ungeona data nilizoweka zimewekwa kwenye link
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…