Kwanini baadhi ya Wasomali wakifika Kenya wanabadili dini na kuacha uislam?

Soma article, has nothing to do with Somalia.
 
Ondoeni hyo sheria ya kulazimisha mtu kutohama
Hio sheria ina hekima yake, na kuna maeneo inatumika na maeneo haitumiki. Nchi yoyote ambayo haitawaliwi kiisilamu na haina Khalifa (practically duniani kote) huwa hio sheria haifanyi kazi, sababu hata mahakama ya kiisilamu haiwezi toa hukumu yake, ni kiongozi wa waisilamu tu ndio anaweza.

Leo nchi zote za kiarabu ukienda wana discourage tu kuhama dini ila ukihama hufanywi kitu, Soma Cia religious report za Qatar, UAE, Oman etc.
 
Wanao waua siyo government ni ndugu na jamaa
kwasababu hata wakiwaua Serikali haiwachukulii serious nikama ina sympathize vile

Ukiangalia documentary au hizo shuhuda nyingi mtu anatishiwa na kaka au ndugu au jamaa zake wa karibu
 
Tangaa wakookibaooo na uraia kama wotee sembuse dini walekujioopua anytim
 
Wanao waua siyo government ni ndugu na jamaa
kwasababu hata wakiwaua Serikali haiwachukulii serious nikama ina sympathize vile

Ukiangalia documentary au hizo shuhuda nyingi mtu anatishiwa na kaka au ndugu au jamaa zake wa karibu
Mimi nakupa source za uhakika unaniambia documentary ambazo 99% watu wanatengeneza wapige hela, una utafiti wowote ule kuonesha ni watu wangapi wameuliwa?
 
Mimi nakupa source za uhakika unaniambia documentary ambazo 99% watu wanatengeneza wapige hela, una utafiti wowote ule kuonesha ni watu wangapi wameuliwa?
una source gan mkuu!!
hizo ni testimony
 
allah kumbe?
 
Attachments

  • D56B79B8-56DD-48DB-87CE-63185492105B.jpeg
    603.4 KB · Views: 2
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…