Kwanini baadhi ya watu wenye dini zao hufikiri kila mtu anapaswa kuendana nao?

Yaani mtu akikusalia Asalamaleko ujue ameanza kukuzoea vibaya na anahisi anakumudu...
 
Ni habari njema kwako sio kwa kila mtu.
Madam upo Hai utaendelea kuisikia mpaka uende kaburini,huna uwezo wa kuzuia injili,ipo Milele,wewe huna umilele,ukipatwa na kichomi tu,kwisha habari yako.
 
Hayo matisho pelekea makondoo wenzako sio mimi
 
Back
Top Bottom